Chadema kifua mbele Tunduma, serikali yasusa

UJENZI wa barabara, ujenzi wa vyoo, shule na uchimbaji visima umeimarisha taswira ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mbeya. Anaripoti Ibrahim Yassin … (endelea). “Kuwepo kwa mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo ujenzi wa visima vya maji, barabara kuwekwa lami pia ujenzi wa madarasa, kumeendeeleza taswira chanya ya ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Magufuli: Nendeni vituoni kifua mbele

MGOMBEA urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi hasa wanawake, vijana na wazee kutotishika na maneno ya kuwazuia wasiende kumpigia kura na kuwataka waende vituoni kifua mbele, kumchagua kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

 

4 years ago

Vijimambo

Mkwasa: Yanga tembeeni kifua mbele.

Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa.
Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa amewataka mashabiki wao kutembea kifua mbele kwa kuwa mafanikio yanakuja.Katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya Yanga jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro alisema Mkwasa amemhakikisha kikosi chao kiko vizuri kambini mjini Bagamoyo, Pwani kujiandaa kwa mechi inayofuata dhidi ya Azam FC.
"Tumewasiliana na kocha msaidizi (Mkwasa)...

 

4 years ago

Mwananchi

Wakulima wa Pareto waanza kutembea kifua mbele

>Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT), imewalipa zaidi ya Sh4.4 bilioni  wakulima wa pareto katika mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Arusha kuanzia Agosti mwaka jana hadi Machi mwaka huu baada ya kununua tani 2,300 za zao hilo, imeelezwa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Tanzania kifua mbele kwa chanjo Afrika

Asilimia 20 ya watoto Afrika hawajapata chanjo zote zinazopendekezwa na Shirika la Afya Duniani lakini Tanzania ni moja ya nchi chache zinazoongoza kwa utoaji wa chanjo kwa watoto.

 

3 years ago

Global Publishers

Fid Q adunda kifua mbele na heshima ya ZIFF

fid-q.jpgNa Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi

Agosti 13 mwaka jana, mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, aliyetoka mbali na muziki huo, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ aliwapa zawadi ya Wimbo uitwao Kemosabe (Interlude) mashabiki wake na wapenzi wa burudani duniani jambo ambalo ni kawaida kabisa kwa Fid Q kufanya kila mwaka anaposherehekea siku hiyo aliyozaliwa.

Mbali na ngoma mpya hufanya jambo fulani kwa ajili ya jamii na hata wapenzi wa kazi zake.

Akichonga na BMM ya Risasi Jumamosi, Fid amefunguka jinsi...

 

5 years ago

Habarileo

Watanzania watembea kifua mbele kwa tuzo ya Kikwete

TUZO ya uongozi bora aliyotunukiwa Rais Jakaya Kikwete jijini hapa Jumatano iliyopita na jarida moja la kimataifa la African Leadership imeelezwa kuwa imeliongezea nuru bara la Afrika na Tanzania kwa kutambua uongozi wake mahiri katika utawala na maendeleo.

 

2 years ago

Michuzi

MPINA: “WAFUGAJI TEMBEENI KIFUA MBELE WAZIRI MNAYE”

NA MWANDISHI MAALUM – KATERERO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhanga Mpina amewataka wafugaji nchini kutembea kifua mbele kwa kumpata yeye kama Waziri mwenye dhamana ya Mifugo, Mpina ameyasema hayo leo aliposhiriki katika zoezi la kupiga chapa Mifugo katika Kijiji cha Kyelwa kilichopo katika kata ya Katerero halimashauri ya wilaya Bukoba mkoani Kagera, na kuwataka viongozi kuzingatia maadili wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo ili kuepuka hujuma na ubaguzi kwa wafugaji.
Waziri Mpina...

 

4 years ago

Vijimambo

TAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana.Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana, akijieleza mbele ya Baraza la  Maadili kwa Viongozi wa Umma Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa tuhuma za kukiuka maadili ya viongozi wa umma alipokuwa Halmshauri ya Manispaa ya Mkuranga mkoani Pwani kabla ya kuhamishiwa Tabora.
Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo.


Na Dotto Mwaibale
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani