CHADEMA KUFANYA KIKAO CHA DHARURA KESHOKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kesho inakutana katika kikao cha ‘dharura’ jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Januari 12, 2018, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Zanzibar, Salum Mwalimu amesema lengo la kikao hicho ni kufanya tathmini ya hali ya kisiasa nchini.
Mwananchi lilipotaka kujua kama lengo la kikao hicho ni kujadili ziara ya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenda Ikulu, Mwalimu amesema kikao hicho si cha dharura kwani kilipangwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Malunde

KIKAO CHA DHARURA CHA CHADEMA KIMEAHIRISHWA MPAKA KESHO JUMAPILI KWA SABABU YA MSIBA
Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho.

Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter Kibatala.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi Januari 13, 2018, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema “ni kweli Kamati Kuu ilikuwa ikutane leo lakini imeahirishwa hadi kesho(Jumapili).”

“Tumeahirisha ili...

 

3 years ago

BBCSwahili

Nchi za kiarabu kufanya kikao cha dharura

Kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya kigeni wa mataifa ya kiarabu kitafanyika hii leo mjini Cairo.

 

5 years ago

GPL

KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA KESHO

Kutokana na maswali kutoka kwa wanahabari wa vyumba mbalimbali vya habari juu ya agenda za kikao cha Kamati Kuu kesho, Chama kimetoa kauli ifuatayo; Ni kweli kutakuwa na mkutano maalum wa Kamati Kuu ya chama kesho tarehe 3 Januari 2014 Jijini Dar Es Salaam. Ajenda kuu katika mkutano huo ni tatu; Mosi: Kupokea taarifa kuhusu mchakato na maudhui ya mabadiliko ya katiba
Kamati Kuu itapokea taarifa juu ya kupitishwa kwa marekebisho...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

KAMATI KUU CHADEMA KUFANYA KIKAO CHA SIKU MBILI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ​ Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama itakutana kwa siku mbili, kuanzia Oktoba 22-23, mwaka huu, katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na agenda mbalimbali, kitapokea na kujadili kwa kina taarifa ya hali ya siasa nchini na mwelekeo wa nchi kwa ujumla kiuchumi na kijamii.Aidha,

 

4 years ago

Dewji Blog

Bunge la Afrika Mashariki kufanya kikao chake cha Bunge Karimjee Dar, JK kuufungua rasmi kesho

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam  juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu ulioanza jana katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa rasmi na Rais Jakaya Kikwete kesho.

1

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza kikao cha Dharura cha wakuu wa nchi za EAC

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa dharura wa wakuu wan chi za jumuiya hiyo uliofanyika ikulu jijini Dar es salaam leo.(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati kiongozi huyo wa Uganda alipowasili ikulu jijini Dar es...

 

3 years ago

Mtanzania

CUF yaitisha kikao cha dharura

jussaNA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya Taifa na Baraza Kuu la Uongozi ili kutafuta mwanachama atakayekaimu nafasi ya Profesa Ibrahim Lipumba katika kipindi cha mpito.
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika Jumapili Agosti 9, mwaka huu ingawa haijaelezwa mahali kitakapofanyika.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja jana, Kaimu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Ismail Jussa Ladhu, alisema CUF...

 

2 years ago

Channelten

Kikao cha Dharura cha Baraza Kuu la COTWU, Chawasimamiska uongozi Mwenyekiti na Katibu wake Taifa

COTWU

Kikao cha Baraza kuu la dharura la Chama cha wafanyakazi wa mawasiliano na Uchukuzi (COTWU),kimewasimamisha uongozi mwenyekiti na katibu wake wa Taifa, kufutia tuhuma kadhaa ikiwemo matumizi mabaya ya Ofisi.

Kikao hicho kilichofikia maamuzi hayo,kwa mujibu wa katiba yake kifungu nambari 4.2,kimefanyika jijini Dar e Salaam, na kuwakutanisha wenyeviti wa kanda Tano za Chama hicho ambapo mwenyekiti wa kanda ya Dar Es Salaam,GEORGE FAUSTIN, amesema,uamuzi wa kuwa na kikao hicho cha...

 

3 years ago

BBCSwahili

FIFA:Blatter aongoza kikao cha dharura

Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter, ameongoza kikao cha dharura cha wanakamati wakuu wa shirikisho hilo huko Zurich Uswisi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani