CHADEMA WAZUNGUMZIA SINTOFAHAMU INAYOENDELEA BUNGE LA AFRIKA (PAP) , SPIKA NDUGAI NA MASELE


Makamu wa rais wa Kwanza wa rais wa Bunge la Afrika,Mhe. Stephen Masele akiendelea na shughuli za bunge la Afrika leo Mei 16,2019,Midrand,Johannesburg nchini Afrika Kusini, juu ni Rais wa Bunge la Afrika,Mhe. Roger Nkodo Dang akiendesha kikao cha bunge .

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEOTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika njia mbalimbali za upashanaji habari mitandaoni na baadae kwenye vyombo vya habari tangu asubuhi ya leo kuhusu kile kinachoonekana kuwa ni...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Malunde

Spika Ndugai Atangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) Kwa Utovu Wa Nidhamu

Spika Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Bunge hilo kwa tuhuma za utovu wa nidhamu mpaka atakapohojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge.


Ndugai ametangaza uamuzi huo leo Alhamisi, Mei 16, 2019 wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma.

“Tunao wabunge wanaotuwakilisha kwenye mabunge mbalimbali ya Afrika ikiwemo SADC, Pan African Parliament (PAP), African Caribbean Pacific, Bunge la Afrika Mashariki na...

 

1 week ago

Malunde

MCHUNGAJI MSIGWA AHOJI UHALALI WA SPIKA NDUGAI KUMSIMAMISHA MASELE BUNGE LA AFRIKA


Makamu wa kwanza wa rais wa Bunge la Afrika,Mhe.Stephen Masele akiwa ofisini kwake katika makao makuu ya Bunge la Afrika,Johannesburg nchini Afrika Kusini***Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amehoji nafasi ya wabunge wanaochaguliwa na Bunge kuwawakilisha katika mabunge mbalimbali duniani kusimamishwa na Spika bila uamuzi huo kujadiliwa na waliowachagua.
Akizungumza bungeni leo Ijumaa Mei 17, 2019 baada ya kuomba mwongozo kwa mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, mbunge...

 

1 week ago

Malunde

Picha : STEPHEN MASELE ARUDI TANZANIA BAADA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA (PAP) KUFUNGWA


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini amerudi nchini Tanzania baada ya Mkutano wa Bunge la Afrika uliokuwa unaendelea jijini Johannesburg,Afrika Kusini tangu Mei 6,2019, kufungwa leo Ijumaa Mei 17,2019.

Mhe. Masele ambaye ni Mkuu wa Utawala PAP alikuwa anahudhuria mkutano wa bunge la Afrika na baada ya kukamilisha majukumu yaliyompeleka sasa amerejea nyumbani Tanzania huku wabunge wengine waliokuwa wakishiriki mkutano nao...

 

6 days ago

Malunde

Mbunge wa Shinyanga mjini na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele Ameshafika Bungeni Tayari Kwa Kuhojiwa

Spika wa Bunge,Job Ndugai ameitaka Kamati ya Kudumu ya Haki,Maadili na Madaraka Bunge kwenda kumuhoji Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Afrika,Stephen Masele.
Agizo hilo amelitoa Leo Mei 20 wakati Wabunge wakichangia mjadala wa Wizara ya Kilimo.
“Nawaomba Kamati ya Maadili mwende sasa maana Mheshimiwa Masele ameishafika,” amesema Spika Ndugai.

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA AFRIKA AKUTANA NA SPIKA NDUGAI PAMOJA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) na Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia)Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (kulia)...

 

1 week ago

Michuzi

NEWZ ALERT: SPIKA NDUGAI ASITISHA UWAKILISHI MAKAMU WA KWANZA WA RAIS BUNGELA AFRIKA,STEPHEN MASELE

SPIKA wa Bunge Mhe. Job Ndugai, amesitisha uwakilishi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Stephen Masele katika bunge hilo kuanzia leo Mei 16, 2019.

Sababu za hatua hiyo, Mhe. Ndugai amesema ni kutokana na utovu mkubwa wa kinidhamu ulioonyeshwa na Mhe. Masele ikiwemo kukaidi kurejea nyumbani kutokana na vitendo hivyo ili ahojiwe na Kamati ya Bunge ya Haki maadili na madaraka ya bunge.

Kwa sasa Mhe. Masele hyuko nchini Afrika Kusini akiongoza vikao vya bunge la Afrika...

 

3 days ago

Malunde

JINSI MASELE ALIVYOTIBUANA NA NDUGAI LEO BUNGENI...'AELEZA HUJUMA ZA KUTAKA ANG'OLEWE PAP'


Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele leo tarehe 23 Mei 2019, ametibuana na Job Ndugai, Spika wa Bunge.
Masele ambaye ni Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ameshutumu mawasiliano ya Spika Ndugai na Roger Nkodo Dang, Rais wa Bunge la Afrika (PAP) kwamba, yalikuwa na malengo hasi kwake na nafasi yake ya umakamu wa rais wa PAP. 
Hata hivyo, Spika NdugaI amepinga kauli hiyo akieleza, kilichomfanya kumwita Masele nchini ni kuja kuhojiwa utovu wa nidhamu na si mgogoro wa PAP. 
Awali, Kamati...

 

3 days ago

BBCSwahili

Stephen Masele: Naibu spika wa bunge la afrika aomba radhi kwa uchonganishi

Mbunge wa Shinyanga mjini nchini Tanzania, Stephen Masele ambae pia ni naibu spika spika wa Bunge la Africa hii leo amesisima bungeni na kuomba msamaha kwa kile kinachodaiwa kuwa ni utovu wa nidhamu na uchonganishi.

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mjumbe wa Bunge la Afrika anaewakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Stephen Masele (katikati) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Asha Juma, wa pili kulia ni Mjumbe Mhe. David Silinde na kulia ni Katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani