Chadema yatoa mabati 850 kwa waathirika mafuriko Kahama

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa msaada wa mabati 850 ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, kusaidia waathirika wa mafuriko katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama.

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa (pichani), alisema msaada huo una thamani ya Sh. milioni 12.

Dk. Slaa alifafanua kuwa kati ya kiasi hicho cha fedha zilizonunua mabati, Sh. milioni 10 ni sehemu ya ruzuku inayotolewa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA

 Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya watu waliopatwa na janga la  mvua ya mawe  katika  kata ya Mwakata  ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama,  Benson Mpesya  wa katikati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi  mabati 176  na mifuko ya saruji 130  vilivyotolewa na kampuni ya bia  ya TBL  kulia anayekabidhi ni  meneja mauzo na usabazaji Godwin Zakaria na kushoto ni mjumbe wa kamati Patrick Kalangwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala lengo la msaada huo ni kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya...

 

2 years ago

Michuzi

ZANTEL YATOA MSAADA WA SARUJI NA MABATI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WA MKOA WA KUSINI PEMBA


Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano ya Zantel-Zanzibar, Bw. Mohamed Khatib Baucha (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mwanajuma Majid Abdallah mifuko ya Saruji kwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni katika mkoa huo. Zoezi la makabidhiano ya msaada huo lilifanyika jana mkoani humo ambapo Zantel walitoa jumla ya mabati 350 na Saruji mifuko 350, vyote vikigharimu Sh. 13 milioni.

Mkuu wa Kampuni ya mawasiliano ya Zantel-Zanzibar, Bw. Mohamed Khamis ...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tigo yatoa msaada wa millioni 30 Tshs kwa waathirika wa mafuriko mjini Kahama

IMGP0400

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw. Ally Maswanya(kulia) akimkabidhi baadhi ya vyakula, vilivyio gharimu milioni 30 , Mkuu wa wilaya ya Kahama Bw. Benson Mpesya (kushoto) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko, katika kijiji cha Mwakata, wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.

IMGP0399

Mkuu wa wilaya ya Kahama, Bw.Benson Mpesya akionyeshwa Baadhi ya vyakula na vifaa vilivyo gharimu milioni 30, na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa, Bw.Ally Maswanya, kama msaada kwa waathirika wa mafuriko, katika kijiji...

 

5 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko wapewa mabati 689

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mabati 689 yenye thamani ya Sh milioni 15 kwa wananchi wa wilaya za Hai na Mwanga, waliokumbwa na mafuriko. Mafuriko hayo yalisababisha zaidi ya kaya 500 kukosa makazi.

 

3 years ago

Michuzi

Tume ya Ushindani (FCC) yatoa msaada wa mabati 5,743 kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera leo

 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstafu Salim Kijuu akiishukuru Tume ya Ushindani (FCC) kwa kutoa msaada wa bandali 360 zenye jumla ya  mabati 5,743 yenye thamani ya TZS 86.145m/- kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani humo ofisini kwa Mkuu wa Mkoa mjini Bukoba leo. Kamishna wa Tume ya Ushindani (FCC)Bw. Fadhili Manongi akiongea machache kabla ya kukabidhi msaada huo wa mabati.Tume ya Ushindani (FCC) leo  akikabidhi  msaada wa bandali 360 za mabati 5,743 zenye thamani ya TZS...

 

4 years ago

Michuzi

Airtel yatoa msaada kwa wahanga wa mafuriko Kahama

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetembelea wahanga wa mfuriko ya mvua katika wilaya ya kahama mkoani shinyanga kwa kuwapatia msaada wa mahitaji muhimu yanayoitajika kwa sasa. Zaidi ya watu 35 walifariki na kuwaacha mamia wakiwa hawana makazi ya kukaa kufatia mvua kubwa iliyonyesha mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu
Akionge wakati wa makabithiano ya msaada huu, Meneja mauzo wa Airtel Shinyanga Bwana Ezekiel Nungwi alisema” Tunaungana kwa pamoja katika maafa haya na kutoa pole kwa...

 

4 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI HAI

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa chini wilayani Hai.Msaada wa magodoro uliotolewa na Benki ya NMB kwa waathirika wa mafuriko yaliyotkea hivi karibuni wilayani Hai.Meneaja wa NMB kanda ya kasakazini Vicky Bishubo akikabidhi msaada kwa mkuu wa wilya ya Hai,Anthony Mtaka huku zoezi hilo likishuhudiwa na mbunge wa jimbo hilo Freeman Mbowe.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

4 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF  kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
 Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani