‘Chagueni kiongozi mwenye hofu ya Mungu’

Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku wakihakikisha wanamchagua kiongozi atakayeweza kuzisimamia vizuri rasilimali za taifa kwa manufaa ya watu wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mtanzania

‘Tunataka rais mwenye hofu ya Mungu’

Pg 1Na Debora Sanja, Dodoma
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kuhakikisha rais watakayemchagua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, lazima awe na hofu ya Mungu.
Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo mjini Dodoma jana, wakati akizungumza katika hafla ya kusimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya.
Alisema kiongozi huyo, mbali na kuwa na hofu ya Mungu, lazima pia aweze kuongoza nchi bila kuwa na ubaguzi wa aina yoyote.
“Wakati tunapoelekea katika...

 

4 years ago

GPL

MAGUFULI: RAIS MTARAJIWA MWENYE HOFU YA MUNGU

John Pombe Magufuli Na Erick Evarist HISTORIA ya maisha yake tangu alipozaliwa hadi sasa, John Pombe Magufuli ameishi katika matakwa ya dini ya Kikrosto. Mbali na kuwa mkristo, mkatoliki, anamheshimu kila mtu. Mwenye imani kama yake, imani tofauti na hata wale wasio na dini, wote anawapa haki sawa. Amemtanguliza Mungu katika kila jambo. Safari yake ya kuomba urais, aliianza kwa kumtanguliza Mungu na kweli akajibu maombi yake....

 

1 year ago

CCM Blog

ASKOFU: MAOMBI YA VIONGOZI WA DINI YALISAIDIA TANZANIA KUTAPA RAIS MWENYE HOFU YA MUNGU


Askofu Mkuu wa Nyumba ya Huduma ya Abundant Blessing Centre, Flaston Ndabila ambaye ndiye Mratibu wa maombi hayo akizungumza kwenye ibada ya maombi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Askofu Mkuu wa Nyumba ya Huduma ya Abundant Blessing Centre, Flaston Ndabila, akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwenye ibada hiyo mara baada ya kuwasili.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati), akishiriki katika maombi...

 

4 years ago

Mwananchi

Sumaye: Chagueni kiongozi mzalendo asiye na makundi

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka Watanzania kuchagua kiongozi mzalendo asiye na makundi atakayewainua kwa kadri inavyowezekana ili wawe na maisha bora.

 

5 years ago

Habarileo

'Askofu muwe na hofu ya Mungu'

VIONGOZI wa Serikali nchini wameaswa kuwa na hofu ya Mungu wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku katika kuwaletea maendeleo wananchi na kwamba kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa hapa nchini viongozi wanaohitajika ni wale wenye kiu na njaa ya usawa na haki katika matumizi ya rasilimali.

 

4 years ago

Mtanzania

Riyama: Watu wamekosa hofu ya Mungu

Riyama-AliNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu nchini, Riyama Ally, amewataka Watanzania kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuwadhulumu uhai wao walemavu wa ngozi ‘albino’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Riyama alisema inashangaza watu ambao wamekuwa wakiendekeza imani za kishirikina, kwani wengi wao hushia pabaya na kukosa mafanikio.
Alisema imani potofu zimekuwa zikizidisha maovu hayo, huku baadhi ya watu wakijinufaisha wao bila kuangalia maisha ya wenzao.
“Watu hawana hofu ya Mungu kabisa,...

 

4 years ago

Mwananchi

Ufisadi ni zao la Kutokuwa na hofu ya Mungu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania wengi hivi sasa wamekosa kitu muhimu na cha thamani katika maisha yao, ambacho ni kutokuwa na hofu ya Mungu.

 

4 years ago

Vijimambo

UFISADI NI SAO LA KUTOKUWA NA HOFU NA MUNGU

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akihubiri katika ibada ya Krisimasi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo katika Kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam Amesema kufuatia hali hiyo Tanzania imejikuta ikiingia kwenye vitendo vya rushwa na ufisadi, huku viongozi waliopewa dhamana na wananchi wakiweka mbele maslahi yao binafsi badala ya Taifa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania...

 

5 years ago

Mwananchi

Askofu: Hofu ya Mungu itatupa Katiba

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu amesema Katiba Mpya itapatikana iwapo wajumbe wa Bunge la Katiba watakuwa na maadili ya kiroho kwa kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu bila kupindisha ukweli wa mchakato wa maoni ya Katiba.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani