- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
Chakula Wachezaji wa Serengeti Boys hawaruhusiwi kula Gabon
Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 May 18 2017 katika uwanja wa Stade de Amitie Libreville Gabon iliingia uwanjani kucheza game yao ya pili ya Kundi B katika michuano ya Afrika vs Angola ambapo mwisho Serengeti Boys ilishinda 2-1 AyoTV na millardayo.com zilipata nafasi ya kukutana Daktari wa Serengeti Boys ambaye anahusika kusimamia afya za […]
The post Chakula Wachezaji wa Serengeti Boys hawaruhusiwi kula Gabon appeared first on millardayo.com.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 months ago
MillardAyo19 May
VIDEO: Chakula ambacho wachezaji wa Serengeti Boys hawaruhusiwi kula
Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 May 18 2017 katika uwanja wa Stade de Amitie Libreville Gabon waliingia uwanjani kucheza mchezo wao wa pili wa Kundi B wa michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 dhidi ya timu ya taifa ya Angola. AyoTV ilipata nafasi […]
The post VIDEO: Chakula ambacho wachezaji wa Serengeti Boys hawaruhusiwi kula appeared first on millardayo.com.
1 year ago
Mwanaspoti23 Mar
Serengeti Boys waahidi makubwa Gabon
1 year ago
Mwananchi18 Apr
Serengeti Boys yajiwinda kwa Gabon
12 months ago
Mwanaspoti05 May
Nyota Serengeti Boys wataka ubingwa Gabon
1 year ago
TheCitizen05 Feb
Serengeti Boys coach eyes glory at Gabon tourney
11 months ago
MillardAyo21 May
GABON: Full Time ya Serengeti Boys vs Niger leo May 21
Timu ya Taifa ya Tanzania U-17 Serengeti Boys leo iliingia tena uwanjani huko Gabon kwenye michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 vs Niger ikiwa ni game ambayo ilikua inaamua kama Serengeti Boys wabaki kwenye michuano hiyo au waondoke. Taarifa ikufikie tu mpaka game inaisha matokeo yamekua ni Niger 1 – 0 Serengeti […]
The post GABON: Full Time ya Serengeti Boys vs Niger leo May 21 appeared first on millardayo.com.
1 year ago
Michuzi
SERENGETI BOYS WAPANGWA KUNDI B KOMBE LA MATAIFA AFRIKA GABON
11 months ago
MillardAyo14 May
EXCLUSIVE: Kutoka Gabon nahodha wa Serengeti Boys amepasuka mfupa
Ripota wa AyoTV na millardayo.com yupo Libreville Gabon kwa ajili ya kufuatilia michezo ya Kundi B ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, AyoTV ikiwa Gabon siku moja baada ya kuwasili imefanikiwa kumpata kocha mkuu wa Serengeti Boys Bakari Shime. Bakari Shime tukiwa Gabon amethibitisha kuwa nahodha wake […]
The post EXCLUSIVE: Kutoka Gabon nahodha wa Serengeti Boys amepasuka mfupa appeared first on millardayo.com.
11 months ago
MillardAyo14 May
PICHA 5: Basi walilopewa Serengeti Boys kwa ajili ya AFCON U-17 Gabon
Michuano ya AFCON U-17 imeanza leo nchini Gabon katika kisiwa cha Port Gentil nchini Gabon, timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys kesho ndio itacheza mchezo wake wa kwanza wa Kundi B katika mji wa Libreville ikicheza dhidi ya Bingwa mtetezi Mali. Shirikisho la soka barani Afrika CAF […]
The post PICHA 5: Basi walilopewa Serengeti Boys kwa ajili ya AFCON U-17 Gabon appeared first on millardayo.com.