CHAMA CHA ADC CHAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWASEMEHE KODI WAZEE

Mwenyekiti wa Chama cha Allianc Democrtc Change (ADC) Taifa, Hamad Rashid akifafanua jambo mbele ya wanahabari  juu ya kuipongeza serikali kwa kuwasamehe kodi za majengo wazee wa zaidi ya miaka 60,kwenye nyumba ambazo wanaishi na hazizalishi kipato chochote, jijini Dar es Salaam jana. kulia ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Doyo Hassan.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Chama cha Wakulima Tanzania chaipongeza hotuba ya Rais Magufuli

Na Nyakongo Manyama-Maelezo
Chama cha Wakulima Tanzania (AFP) kimepongeza hotuba ya Rais wa awamu ya Tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli aliyoisoma wakati wa ufunguzi wa Bunge la 11, Novemba 20 mwaka huu mjini Dodoma.
   Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mahusiano wa Makundi Maalum wa AFP Bw. Peter Sarungi ameeleza kuwa hotuba hiyo imesimama katika mambo ya msingi na yenye kuleta mabadiliko ya...

 

1 year ago

Dewji Blog

Chama cha kuogelea chaipongeza semina ya Dar Swim Club

Chama cha mchezo wa kuogelea nchini (TSA) kimeipongeza klabu ya Dar Swim Club (DSC) kwa kufanya semina ya kuendeleza mchezo huo kwa wachezaji na makocha iliyokuwa chini ya wakufunzi kutoka klabu ya Hamilton Aquatics ya Dubai.

Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Mkuu wa TSA, Ramadhan Namkoveka mara baada ya kutembelea mafunzo hayo yaliyofanyika kwenye bwawa la kuogelea la shule ya kimataifa ya DIA iliyopo Masaki jijini.

Mafunzo hayo yalikuwa chini ya wakufunzi wa  kimataifa wa mchezo wa...

 

2 years ago

Vijimambo

Mhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.

Aliyekuwa Wanachamna wa CUF na Mbunge wa jimbo la Wawi kisiwani Pemba, ambaye kwa sasa amehamia chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed leo amechukuwa fomu ya kugombe urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, kulia ni kamishna wa ADC kanda ya Pemba Saidi Seif akimkabidhi mgombe huyo FomuMGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed katitaki akizungumza na wananchi na wanachama wa ADC mara baada ya kuchukuwa fomu ya Urasi huko katika ofisi za chama hicho Wawi kibegi...

 

2 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar. akishindikizwa na Wanachama wa Chama chake cha ADC katika...

 

3 years ago

Mwananchi

Chama cha wazee chakerwa kuzagaa kwa ombaomba mitaani

Serikali imetakiwa kuwaondoa kwa nguvu ombaomba wote mitaani kwani kuwaacha ni kuwadhalilisha na kudumaza maendeleo ya familia zao, ikiwa ni pamoja na kujenga hisia kwa watoto kuwa kuomba mitaani ni mojawapo ya ajira sahihi.

 

2 years ago

Michuzi

LUTALOSA YEMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA ADC

 Wanachama wa chama cha ADC wakishangilia mara baada ya kumtangaza mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar katika mkutano wa kamati kuu uliofanyika leo katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.Wanachama wa chama cha ADC wakipata urudani kutioka kwa kijana wao wa burudani katika mkutano mkuu wa chama hicho wa kumtangaza mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,mgombea urais wa Zanzibar na mgombea mweza katika nafasi hiyo, katika mkutano uliofanyika Hoteli...

 

1 year ago

StarTV

Chama cha ADC chatafakari kushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar: 

 

Chama cha Alliance Democratic Change kimesema bado hakijafikia maamuzi ya   kushiriki au kutoshiriki uchaguzi wa marudio utakaofanyika machi 20 mwaka huu visiwani Zanzibar

Kimesema ADC Inasubiri kikao na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ili kuondoa sintofahamu iliyo ndani ya chama chao na baadaye kuja na maamuzi sahihi kuhusu uchaguzi huo.

 Mwenyekiti wa chama cha ADC taifa Said Miraji amesema maamuzi ya yaliyotolewa na bodi ya Uongozi wa chama hicho, sio maamuzi ya mtu binafsi,hivyo...

 

11 months ago

CCM Blog

3 years ago

Michuzi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani