Chama cha Madaktari wa michezo kuanzishwa Zanzibar

Daktari  mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ( Zanzibar Heros) Said Muhamed  amewataka madaktari wenziwe kujitolea kuwasaidia wanamichezo ili kuendeleza michezo .

Akizungumza na zanzibar 24  huko ofisini kwake Zahanati ya makao makuu ya  Polisi Ziwani amesema makocha wanaofundisha timu za vijana hususan watoto wanatakiwa kuwa na utaalamu wa Afya za watoto na aina ya mazoezi sio kila mazoezi wanapangiwa.

Aidha Dk.Said Muhamed amesema Afya ya mchezaji muhimu kwani timu zimekosa kujua misingi ya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADAKTARI WANAFUNZI TANZANIA CHATOA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dokta Sira Ubwa Mamboya akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi katika uzinduzi wa kampeni za kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu zitakazofanyika Mikoa yote ya Zanzibar.
 Mratibu wa mtadi wa kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu Mr. Siraji M. Mtulia akitoa maelezo mafupi ya mradi huo utakaoanza kutekelezwa leo na Chama cha wanafunzi Madaktari Tanzania wakishikiana na Wizara ya Afya Zanzibar.   Mkuu wa CHUO cha (IMTU)...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aupongeza Uongozi wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar Bibi Saada Hamad Ali akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Medali 32 walizopata wachezaji wa Zanzibar katika mashindano ya Kitaifa Mkoani Kibaha.Balozi Seif akimvisha Medali Mchezaji Fahad Juma Khamis ambae alishinda kwenye mashindano ya Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Pwani Tanzania Bara.Mchezaji Huzaima Haji Ali wa Timu ya Mchezo wa Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar akivishwa Medali na...

 

4 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

UJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar (kulia) Katibu wa FRELIMO Zanzibar Bw. Agostino Andrea. Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha FRELIMO Bi. Nyeleti Mondlane (watatu kushoto) akibadilishana mawazo na...

 

1 year ago

Michuzi

MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA

Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) akifungua  shughuli za uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno kwa watoto waliopo katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime Mkoani Mara . Kuanzia kushoto ni Kiongozi wa msafara huo ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa...

 

2 years ago

Michuzi

CHAMA CHA ADC CHASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA MITANO TANGU KUANZISHWA KWAKE


Siku ya jana Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC) chenye kaulimbiu ya Dira ya Mabadiliko kimetimiza miaka mitano tangu kupata usajili rasmi 22 Agosti 2012.
Akizungumza katika maadhimisho ya Chama hicho Mwenyekiti wa chama hicho Hamad Rashid ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, ametoa wito kwa vyama vya siasa kuiga mfano wa ADC ambao wamekuwa wakimaliza migogoro yao kwa njia ya mazungumzo kwa kipindi hicho cha miaka mitano tofauti na vifanyavyo...

 

2 years ago

Michuzi

CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR

Katibu Mkuu chama cha uokoaji majini Tanzania Bwa. Alexander Mwaipasi akitoa maelezo ya mafunzo ya usalama majini yatayofundishwa kwa muda wa wiki katika Skuli ya kimataifa iliyopo Mazizini Mjini Zanzibar.Kapten Khatibu Khamis wa Kikosi cha KMKM Zanzibar akifungua mafunzo ya usalama majini kwa vikundi mbalimbali vinavyojishuhulisha na uokoaji Afika Mashariki pamoja na skari wa jeshi hilo katika Skuli ya kimataifa Mazizini Mjini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu chama cha uokoaji majini Tanzania...

 

3 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA MATIBABU KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MATEMWE UNGUJA.

 Dokta Abdull Maulid Abdull akimpima Miwani ya kuonea Mwananchi Chale Muumin Fumu mkaazi wa Kijiji cha Matemwe Tunda ngaa katika matibabu yalio fanyika skuli ya matemwe mkoa wa Kaskazini unguja. Dokta Rajab Mohd Haj akimkagua Jicho Mzee Muhidin M Ali Mkaazi wa Kijiji cha Matemwe katika matibabu yaliofanyika Skuli ya Matemwe Mkoa wa Kaskskazini Unguja. Dokta Fei Jie kutoka China akimpima Masikio Bi Fatma Khamis Jaku mkaazi wa Kijiji cha Matemwe Mfuruni katika matibabu yalio fanyika Skuli ya...

 

4 years ago

Dewji Blog

Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism

unnamed (4)

Raisi Mstaafu wa Chama cha  Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto  Rachel Mhavile  toka Hospitali ya Taifa  Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani