chama cha wataalamu waliobobea kupambana na ufisadi wakutana kujadili njia za kumaliza ufisadi

Na Woinde Shizza,Michuzi TV-Arusha

CHAMA cha wataalamu waliobobea katika kupambana na Ufisadi duniani (ACFE)kimejipanga kuanza kutumia teknolojia za kisasa katika kubaini na kuchunguza uhalifu huo unaoonekana kushika kazi katika nchi mbalimbali duniani.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo katika mkutano mkuu wa chama hicho,unaofanyika tawi la Tanzania, jijini Arusha ,Rais wa ACFE ,Emanuel Johanness alisema lengo kubwa la mkutano huo ni kuangalia mapambano ya ufisadi katika siku za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Kumbukumbu miaka 34 kifo cha Sokoine; Wananchi watakiwa kupambana na rushwa na ufisadi

 

sokoine_nyerere

Wakati Tanzania leo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 34 ya Kifo cha waziri mkuu Edward Moringe Sokoine wananchi wametakiwa kuunga mkono serikali ya awamu ya tano katika kupambana na Vitendo vya rushwa na Ufisadi ambavyo vilikuwa vikitekelezwa na kupewa kipaumbele na kiongozi wakati wa uhai wake.

Wakizungumza jiji dsm baadhi ya wananchi wamesema vita dhidi ya wala rushwa,mafisadi pamoja na wabadhilifu wa mali za umma iliyokuwa ikifanywa na marehemu sokoine iliweza kuleta heshima pamoja na...

 

3 years ago

BBCSwahili

Tenisi:Jopo la kumaliza ufisadi labuniwa

Mamlaka za mchezo wa Tennis duniani zimetangaza kuunda jopo uhuru kuangazia jinsi ya kumaliza ufisadi katika mchezo huo.

 

2 years ago

Mwananchi

Wataalamu wakutana kujadili upatikanaji maji

Wataalamu wa masuala ya maji kutoka nchi 25 za Bara la Afrika wamekutana kujadili njia zitakazowezesha upatikanaji wa maji safi na salama mijini na vijijini ifikapo mwaka 2030.

 

4 years ago

Habarileo

Wabunge wachoshwa kujadili wizi, ufisadi

WABUNGE wameelezea kuchoshwa na wizi, matumizi mabaya ya fedha na mikataba mibovu iliyobainishwa katika taarifa za baadhi ya kamati zilizowasilishwa bungeni juzi, na kushauri maazimio yapitishwe ili wahusika wa ufisadi huo wabanwe.

 

4 years ago

GPL

WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI

Rais wa serikali ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya bunge kupitisha mswaada inaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji wa Ikulu ya Rais Manoah Esipisu, tume ya maadili na kupambana na ufisadi, itaendelea na kazi yake licha ya kusimamishwa kwa wakuu hao wawili. Wakuu hao...

 

2 years ago

Channelten

Kuelekea uchaguzi mkuu Kenya, Nasa yaahidi kupambana na ufisadi.

76046478-48D6-45EB-BC80-4023B3A42721_w1023_r1_s

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, umeahidi kupambana na ufisadi, kutekeleza katiba kikamilifu, kuanzisha miradi ya kuzalisha chakula zaidi nchini humo pamoja na kuinua miundombinu kama barabara na reli za kisasa, iwapo mgombea wake Raila Odinga atashinda uchaguzi wa urais mwezi Agosti mwaka huu.

Ahadi hiyo imetolewa na Odinga, wiki hii wakati akizindua Ilani ya muungano huo wa upinzani jijini Nairobi nchini Kenya.

Waziri Mkuu huyo wa zamani pia amesema serikali yake itahakikisha kuwa...

 

3 years ago

Mwananchi

MAONI: Njia za kutokomeza ufisadi, rushwa hapa nchini - 1

Tanzania ilikuwa ni miongoni mwa nchi zilizoshiriki katika mkutano wa siku moja wa wakuu wa nchi ulioitishwa kujadili suala la kupambana na rushwa duniani uliofanyika Lancaster House, jijini London, Uingereza siku ya tarehe 12 Mei 2016.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani