Chama cha wazee chakerwa kuzagaa kwa ombaomba mitaani

Serikali imetakiwa kuwaondoa kwa nguvu ombaomba wote mitaani kwani kuwaacha ni kuwadhalilisha na kudumaza maendeleo ya familia zao, ikiwa ni pamoja na kujenga hisia kwa watoto kuwa kuomba mitaani ni mojawapo ya ajira sahihi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CCM Blog

2 years ago

Michuzi

CHAMA CHA ADC CHAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWASEMEHE KODI WAZEE

Mwenyekiti wa Chama cha Allianc Democrtc Change (ADC) Taifa, Hamad Rashid akifafanua jambo mbele ya wanahabari  juu ya kuipongeza serikali kwa kuwasamehe kodi za majengo wazee wa zaidi ya miaka 60,kwenye nyumba ambazo wanaishi na hazizalishi kipato chochote, jijini Dar es Salaam jana. kulia ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Doyo Hassan.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wazee wa Chama Cha Mapinduzi wampongeza Dr. Shein

Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kwa niaba ya wazee wote wa Chama hicho linampongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein kwa kutimiza ahadi yake ya kuinua kiwango cha chini cha Mishahara 100% kwa watumishi wa Umma, hatua iliyoanzia mwezi wa April, 2017.

Pia wamemuomba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuendelea kusimamia kwa umakini mambo yafuatayo:-

1.Kuwabana...

 

4 years ago

Vijimambo

WAZEE WA CHAMA CHA CUF KISIWANI PEMBA WATAKA KUPEWA ELIMU YA KUPIGA KURA

  Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wazee wa CUF wa Wilaya nne za Pemba katika mkutano na wazee hao uliofanyika Ofisi za CUF Mkanjuni ChakeNaibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kwenye mkutano huo. (picha na Salmin Said, OMKR).  Baadhi ya wazee wa CUF kisiwani Pemba wakieleza dukuduku lao mbele ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad, huko Mkanjuni Chake Chake Pemba.
Baadhi ya wazee wa CUF kisiwani Pemba wakieleza dukuduku lao mbele ya...

 

3 years ago

Channelten

Mgogoro wa Chama cha wazee waliopigana vita kuu ya Pili ya Dunia umeendelea Kufukuta

Screen Shot 2016-08-10 at 4.12.19 PM

Mgogoro wa Kugombea Uongozi na mali katika Chama cha wazee waliopigana vita kuu ya Pili ya Dunia – Tanzania Legion Club eneo la Fire jijini dsm umeendelea Kufukuta baada ya Uongozi ulipinduliwa kupiga kambi eneo hilo na kugoma kuondoka mpaka pale hatma yao itakapojulikana.

Aidha Uongozi unaodai kujitwalia madaraka kinyume cha utaratibu wa Chama hicho nao ulifika katika eneo hilo wakiwa na Askari polisi kwa kutaka kuwaondoa kwa nguvu wazee waliopinduliwa lakini kutokana na mkanganyiko wa...

 

5 months ago

Zanzibar 24

OmbaOmba: Janga linalokua kwa kasi kijiji cha Nungwi

Wamiliki  wa mahotel  kijiji cha Nungwi wamewataka wazazi na walezi  wanaoishi karibu na mahoteli kuwazuia watoto  na kuwakataza tabia ya kuomba omba watalii kwani hatua hiyo itaweza kuwasababishia kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. 

Wakizungumza kwa masikitiko makubwa baadhi ya wamiliki wa mahoteli hao ambao wamekataa kutajwa majina yao wamesema tabia ya kuomba omb pia ni chanzo cha udhalilishaji kwa watoto kwani wapo baadhi ya wageni hawatoi pesa zao bure. 

Wamesema wazazi...

 

5 years ago

Michuzi

UJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar (kulia) Katibu wa FRELIMO Zanzibar Bw. Agostino Andrea. Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha FRELIMO Bi. Nyeleti Mondlane (watatu kushoto) akibadilishana mawazo na...

 

5 years ago

Mwananchi

Kuzagaa kwa silaha nchini, nani anajali?

Sasa nchi yetu imefika mahali ambapo maisha ya watu, hasa jijini Dar es Salaam yanaonekana kuwa ‘roho mkononi’ kutokana na kukithiri kwa ujambazi na kuzagaa kwa silaha ambazo zimo katika ‘mikono haramu’. Kwa maneno mengine, silaha nyingi hazimo katika ‘mikono stahiki’. 

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani