Chameleone kuachana na Mke wake wa Miaka 10

Daniella Atim, ambaye ni mke wa Hitmaker na muimbaji kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Chameleone, amewasilisha ombi la kutaka hakimu katika moja ya mahakama nchini Uganda kuivunja ndoa yake na hitmaker huyo.

Daniella ameeleza sababu za kutaka kuachana na Chameleone zikiwa ni pamoja na kupigwa na muimbaji huyo pamoja na kunyanyaswa yeye na watoto wake.

Daniella na Chamelone wameoana kwa zaidi ya miaka kumi na kufanikiwa kupata watoto wanne pamoja.

Hatua za kumpata Chameleone kutolea ufafanuzi suala hili, hazijafua dafu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Elba akanusha kuachana na mke wake

ElbaLONDON, ENGLAND

MKALI wa muziki na filamu nchini Uingereza, Idris Elba, amekanusha uvumi wa kuachana na mke wake, Naiyana Garth ambao ulianza kuvuma tangu Februari mwaka huu.

Nyota huyo amekanusha habari hizo mara baada ya kuwasili katika tamasha la British Academy Television Awards (Bafta TV), akiwa na mke huyo huku ikiwa ni mara ya kwanza kwa wawili hao wakiwa pamoja.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii huyo aliweka wazi kwamba bado yupo pamoja na mkewe huyo.

“Ujio wangu katika...

 

1 year ago

MillardAyo

U HEARD: Inamuhusu Barnaba kuachana na Mke wake

Leo February 15 2017 kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Bwown ametuletea U Heard inayohusu mwimbaji staa wa Bongofleva Barnaba kudaiwa kuachana na mke wake. Kwa mujibu Soudy Brown inadaiwa Barnaba amefikia hatua ya kuachana na mke wake baada ya kumfumania mke wake hivyo ikabidi ahame nyumbani na kutafuta sehemu nyingine. Soudy Brown kapiga stori […]

The post U HEARD: Inamuhusu Barnaba kuachana na Mke wake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Chris Rock ampa talaka mke wake wa miaka 20

Mchekeshaji na muigizaji maarufu wa nchini Marekani, Chris Rock amempa talaka mke wake aliyedumu naye kwa kipindi cha miaka 20. Malaak Compton-Rock alitoa maelezo Jumapili hii kupitia jarida la People akisema: “After much contemplation and 19 years of marriage, Chris and I have decided to go our separate ways.” “While recognizing that this is a […]

 

1 year ago

Dewji Blog

Mzee wa miaka 83 akutwa amekufa pembeni ya kaburi la mke wake

Mzee mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka 83 amekutwa amekufa pembezoni ya kaburi la mke wake baada ya kujipiga risasi ya kichwa katika makaburi ya St. John yaliyopo katika kijiji cha Middle jijini New York, Marekani.

Mzee huyo ambaye alitambulika kwa jina la Robert Gallo alikuwa amekwenda eneo hilo kwa ajili ya kutembelea kaburi la mke wake lakini baada ya muda mlio wa risasi ulisikika na walinzi wa eneo hilo walipokwenda kuangalia nini kimetokea walimkuta akiwa amelala chini pembeni na kaburi...

 

11 months ago

MillardAyo

UMRI SIO ISHU: Mke wa Rais aliyemzidi Mume wake kwa miaka 25

May 7, 2017 Emmanuel Macron alichaguliwa kuwa Rais mpya wa Ufaransa kuchukua nafasi ya François Hollande ambapo pamoja na habari za ushindi wake kuwa gumzo, gumzo jingine ni kupitwa kiumri na mke wake Brigitte Trogneux. Unaambiwa Brigitte alikua ni Mwalimu wake ambaye aliwahi kumfundisha miaka 24 iliyopita ambapo wakati huo Macron alikua na umri wa miaka 15 […]

The post UMRI SIO ISHU: Mke wa Rais aliyemzidi Mume wake kwa miaka 25 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Najuta kuachana na mke wangu wa kwanza – Gardiner

12407259_1682637058682897_477768964_n

Mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa pili chuoni.

12407259_1682637058682897_477768964_n

Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gardiner alisema kutokana na kubadilisha kazi ya awali na kuwa mfanyabiashara kipindi anaishi Mwanza, alijikuta akiiweka kwenye mawe ndoa yake kwa kukosa muda nayo.

“Yale mazingira niliyokutana nayo Mwanza ya kibiashara yalisababisha...

 

3 years ago

Bongo Movies

Petitman: Bora Ninyang'anywe Mke Kuliko Kuachana na Wema Sepetu

Mfanyakazi wa kampuni ya Endless Fame, Petitman  ambaye mara zote ameonekana kuwa karibu sana na bosi wake , Wema Sepetu  amesema kamwe hawezi kuacha kuwa karibu na Wema eti kwa sababu  Wema  na Diamond wameachana, ukizingatia kuwa Pititman  na Diamond ni mtu na shemeji yake. (Petitman amemuoa dada yake Diamond, Esma)

Kauli hiyo inaashiria kwamba Petitman yupo tayari kunyang'anywa mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu...

 

3 years ago

CloudsFM

Jose Chameleone afiwa na Mdogo wake

Aliyekuwa Mdogo wake Jose Chameleone, AK47 afariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kudondoka chooni na kugonga kichwana kabla umauti haujamfika alipost picha kupitia mitandao ya kijamii na aliandika maneno ya nyimbo ya injili kwam lugha kiganda yakisema

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani