Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …

December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney … appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

TBT: Video ya miji waliyokulia mastaa wa soka wa dunia, Messi, Ronaldo, Aguero, Neymar na wengineo

maxresdefault

Mtu wangu wa nguvu najua kila Alhamisi nimezoea kukuletea picha za utoto za mastaa wa soka wa dunia, ila Alhamisi ya August 18 2016 naomba nikusogezee video ya miji waliokulia mastaa 15 wa dunia ambao wengi wetu tumezoea kuwaona katika mafanikio yao katika vilabu vya Ulaya. Leo naomba nikuletee miji ya mastaa wa soka kama […]

The post TBT: Video ya miji waliyokulia mastaa wa soka wa dunia, Messi, Ronaldo, Aguero, Neymar na wengineo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: TOP 20 ya Ball Control Skills ya Lionel Messi, Ronaldo, Neymar na mastaa wengine

top-10-freestyle-skills-in-train-400x242

Najua mtu wangu wangu huwa unapenda soka na kila weekend hupendi upitwe na mechi kali, hususani zinazohusisha mastaa wako unaowakubali kama Neymar, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, huenda hii hukuwahi kukutana nayo, naomba nikusogezee dakika 3 na sekunde 49 za ujuzi na njonjo za mastaa wako katika kuuchezea mpira. Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post VIDEO: TOP 20 ya Ball Control Skills ya Lionel Messi, Ronaldo, Neymar na mastaa wengine appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Bongo5

Messi na Ronaldo nani zaidi? Mastaa hawa wa soka wajibu

Vita kubwa iliyopo sasa kwenye mchezo wa soka duniani ni nani zaidi kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Messi & Ronaldoooo

Ronaldo ambaye aliwahi kushindanishwa na Ronaldinho wakati yupo kwenye ubora wake, baadaye watu wakamshindanisha na Recardo Kaka lakini vita ya sasa hivi dhidi ya Messi imeonekana kuwa kubwa zaidi.

Baadhi ya mastaa wa mchezo wa soka wametoa yao juu ya nani zaidi kati ya Messi na Ronaldo.

Joe Hart

121203174602_burj_khalifa_640x360_getty_nocredit

Hart ambaye ni golikipa wa timu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza...

 

3 years ago

MillardAyo

TBT Picha za wanasoka Kaseja, Ulimwengu, Neymar, Ramos na Ronaldinho

neymarmenino2

Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya June 23 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka kwa muda mrefu, leo June 23 nakusogezea TBT picha za Neymar wa FC Barcelona, Sergio Ramos wa Real Madrid, Ronaldinho na watanzania nakusogeze TBT picha za Juma Kaseja, Thomas Ulimwengu, Hamis Mroki […]

The post TBT Picha za wanasoka Kaseja, Ulimwengu, Neymar, Ramos na Ronaldinho appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

TBT: Cheki picha za utoto za Neymar, Zidane, Gerard Pique na Cesc Fabregas

Moja kati ya vitu ambavyo inawezekana mtu wangu ukawa unavikosa kutoka kwa mastaa wako wa soka ni picha zao za utoto, mara nyingi umekuwa ukiona picha zao za ukubwani na wakiwa katika mafanikio katika soka. Leo naomba nikusogezee TBT pichaz za mastaa wa soka wa timu ya taifa ya Hispania Cesc Fabregas na Gerard Pique, mshambuliaji wa FC […]

The post TBT: Cheki picha za utoto za Neymar, Zidane, Gerard Pique na Cesc Fabregas appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo Movies

Pichaz: Ommy Dimpoz na Wayne Rooney Wakutana Hispania

Akiwa nchini Hispania, mkali wa bongo fleva, Ommy Dimpoz amekutana na mchezaji nyota wa nyota wa Manchester United na timu ya uingereza, Wayne Rooney na familia yake kwenye kisiwa cha Ibiza nchini humo.

ommy na rooney
Ommy dimpozi ameweka picha hizi na video mtandaoni.

ommy23

 

 

3 years ago

MillardAyo

TBT: Picha za utoto za Lionel Messi, Ronaldinho na Cristiano Ronaldo

maxresdefault

Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya September 1 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka, leo naomba nikusogezee TBT picha za Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, staa wa zamani wa FC Barcelona Ronaldinho,  Lionel Messi wa FC Barcelona. GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

The post TBT: Picha za utoto za Lionel Messi, Ronaldinho na Cristiano Ronaldo appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani