Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016

Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya Uganda. Huu ulikuwa ni mchezo wa kuamua ni timu ipi kati ya hizo itacheza fainali na Mtibwa Sugar January 13. Mchezo ulimalizika kwa sare ya […]

The post Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Cheki video ya magoli ya fainali ya Mapinduzi Cup URA Vs Mtibwa, Full Time 3-1

Usiku wa January 13 katika dimba la Amaan visiwani Zanziibar ulipigwa mchezo wa fainali ya 10 ya Kombe la Mapinduzi kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda dhidi ya Mtibwa Sugar ya Tanzania. Mchezo uliochezwa na Mtibwa Sugar ikiwa katika ardhi yake ya nyumbani ilikubali kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa URA ya Uganda. Mtu wangu […]

The post Cheki video ya magoli ya fainali ya Mapinduzi Cup URA Vs Mtibwa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ureno yatinga nusu fainali ya Euro 2016 kwa mikwaju ya penati

3696

Baada ya kusimama kwa takribani siku mbili kwa ajili ya mapumziko ya mechi za Euro 2016, usiku wa June 30 2016 ulichezwa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya michuano hiyo ya Euro 2016, mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Euro 2016  ulikuwa kati ya Poland na Ureno. Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa […]

The post VIDEO: Ureno yatinga nusu fainali ya Euro 2016 kwa mikwaju ya penati appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

Cheki video ya vituko vya mashabiki na magoli ya mechi ya Mtibwa Sugar 1-2 Yanga Mapinduzi Cup 2016 …

Usiku wa January 7 ulipigwa mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani dhidi ya klabu ya Dar Es Salaam Young Africa. Timu zote hizo zilikuwa zimefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Lakini mchezo haukuwa rahisi, ulikuwa ni […]

The post Cheki video ya vituko vya mashabiki na magoli ya mechi ya Mtibwa Sugar 1-2 Yanga Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014 - KAGONDO FC WATINGA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA IJUGANYONDO KWA MIKWAJU YA PENATI 4-3

Wachezaji wa Timu ya Kagondo Fc wakimpongeza mchezaji wao aliyewapa ushindi wa kwenda hatua ya Nusu fainali Abdallatifu Khamis juu kwa juu.
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Yanga vs Prisons yaliyoipeleka nusu fainali FA Cup

April 22 2017 mchezo wa robo fainali ya mwisho wa Kombe la Azam Sport Federation Cup ulichezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kwa kuzikutanisha timu za Yanga dhidi ya Tanzania Prisons kutokea Mbeya, huo ulikuwa ni mchezo ambao umeahirishwa kutokana na Yanga kubanwa na ratiba za kimataifa. Leo April 22 Yanga wameungana na timu […]

The post VIDEO: Magoli ya Yanga vs Prisons yaliyoipeleka nusu fainali FA Cup appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Simba wamegoma kucheza na Yanga nusu fainali, kazi wamewaachia URA, cheki pichaz na matokeo …

Hatimaye hatua ya Makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi imemalizika kwa kushuhudia timu za Simba, Yanga, Mtibwa Sugar na URA ya Uganda zikitinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Mchezo wa Simba na JKU ndio ulikuwa mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi. Mchezo huo wa Kundi A ambao umemalizika kwa Simba […]

The post Simba wamegoma kucheza na Yanga nusu fainali, kazi wamewaachia URA, cheki pichaz na matokeo … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …

Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]

The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017

screen-shot-2017-01-09-at-1-34-41-am

January 8 2017 Simba walicheza mchezo wao wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 hatua ya makundi dhidi ya Jang’ombe Boys katika uwanja wa Amaan Zanzibar, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Simba ambaye alifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Laudit Mavugo dakika ya 12 na 54. VIDEO: Yanga vs Azam FC January […]

The post VIDEO: Goli za Mavugo zinazoikutanisha Simba vs Yanga nusu fainali Mapinduzi Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..

Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha goli la Mtibwa lililofungwa na Ibrahim Jeba dakika ya 45, hivyo huo ndio ukawa mwisho wa safari yao katika michuano hiyo baada ya mchezo kumalizika […]

The post Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 .. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani