Chelsea -nusu fainali Capital Cup.

Chelsea, waliwachabanga timu ya Derby County, Bao 3-1 kwenye Kombe la Ligi maarufu kama Capital One Cup, na kutinga Nusu Fainali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Capital One Cup: Everton yaifunga Man City hatua ya nusu fainali

during the Capital One Cup Semi Final First Leg match between Everton and Manchester City at Goodison Park on January 6, 2016 in Liverpool, England.

Ramiro Funes Mori.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Usiku wa kuamkia Alhamisi umekuwa mzuri kwa Everton baada ya kuifunga Manchester City goli 2 kwa 1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Capital One.

Katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Goodison Park magoli ya Everton yalifungwa na Ramiro Funes Mori katika dakika ya 45+1 ya kipindi cha kwanza na baadae Romelu Lukaku kuifungia timu hiyo goli la pili katika dakika ya 78 huku goli la Manchester City likifungwa na Jesus Navas...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool nusu fainali Capital one

Timu ya Liverpool imekua timu ya mwisho kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Capital one

 

3 years ago

Bongo5

Liverpool waingia nusu fainali ya Capital one

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Timu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital one .

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Liverpool ilipata ushindi kwa kuichapa timu ya Southampton kichapo cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji Sadio Mane.

2F0048BD00000578-3343438-image-m-63_1449091396265

Liverpool wakakomboa bao hilo kupitia mshambuliaji wao Daniel Sturridge katika dakika ya 29 , Sturridge, tena akaongeza bao la pili.

Mshambuliaji Divock Origi...

 

3 years ago

Mtanzania

Liverpool yatinga nusu fainali Capital one

5440e5ea639b3LIVEPOOL, ENGLAND

KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.

Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.

Mshambuliaji wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

2 years ago

Michuzi

FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP NI TIMU ZA KENYA,YANGA YAONDOLEWA NUSU FAINALI

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MABINGWA Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom (VPL) Yanga leo wameaga amashindano ya SportPesa Super Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru ulianza majira ya saa 8 kamili kwa kuzikutanisha timu ya Yanga dhidi ya AFC Leopard ya nchini Kenya.Mpaka dakika 90 za mpira zinamalizika timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu na...

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatinga fainali Kombe la Capital

Chelsea wamefanikiwa kutinga fainali ya kombe la ligi la Capital One baada ya kuwachapa Liverpool bao 1-0

 

4 years ago

BBCSwahili

Ni Liverpool na Chelsea Capital Cup

Liverpool wameibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Bournemouth katika michuano ya kombe la Capital Cup.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani