Chelsea kuchuana na Tottenham fainali

Tottenham ilitoka nyuma na kuishinda kilabu ya ligi ya daraja la kwanza Sheffield United na kuweka tarehe na Chelsea

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea kuchuana na Tottenham katika mechi ya FA

Kipa wa Spurs Hugo Lloris huenda akashiriki katika nusu fainali yake ya kwanza ya kombe la FA tangu 2014 kwa sababu Michel Vorm ambaye alikuwa amejiandaa kushiriki anauguza jeraha la goti

 

2 years ago

Mwananchi

Chelsea, Tottenham nusu fainali FA

Chelsea na Tottenham wanakutana kwa mara nyingine katika 'derby' ya London kwenye mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la FA, mechi itakayopigwa katika Uwanja wa Wembley.

 

2 years ago

BBCSwahili

Nusu fainali Kombe la FA: Chelsea v Tottenham, Arsenal v Man City

Mahasimu wa jiji la London Chelsea na Tottenham wamepangwa kukutana katika nusufainali Kombe la FA nchini Uingereza, Arsenal nao wakapangwa kukutana na Manchester City.

 

3 years ago

BBCSwahili

Tottenham kuchuana na Arsenal

Kiungo wa kati wa Tottenham Mousa Dembele atashiriki katika mechi dhidi ya Arsenal baada ya kukosa mechi mbili akiuguza jeraha .

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea kuchuana na West Ham

Harakati za Chelsea kuendelea kudhibiti uongozi katika ligi ya Uingereza itaendelea hii leo katika mechi za siku ya Boxing Dei

 

5 years ago

BBCSwahili

Manchester City Kuchuana na Chelsea

Mchezaji wa Manchester City Yaya Toure amesema kuwa timu yake ni sharti ionyeshe umahiri wake dhidi ya Chelsea leo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Fainali:Japan kuchuana na Marekani

Mabingwa watetezi Japan watajaribu kulihifadhi taji lao la kombe la dunia upande wa wanawake wakati ambapo wanakutana na Marekani kwa kipute cha fainali ya kombe hilo kwa mra ya pili mfululizo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Man City kuchuana na Liverpool fainali

Man City imekua timu ya pili kufuzu fainali ya mchezo wa kombe la Capital baada ya kuichapa Everton kwa mabao 3-1.

 

3 years ago

Habarileo

Tigo, Miembeni kuchuana fainali za Sanga One

MICHUANO ya soka ya kombe la Sanga One inafikia tamati leo kwa mchezo wa fainali kwa timu ya Tigo Fc na Miembeni.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani