Chelsea kuivaa Atletico Madrid-Klabu Bingwa Ulaya

Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya makundi inapigwa hii leo jumanne usiku kwa michezo mbalimbali

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Realy Madrid kuivaa Atletico Madrid klabu bingwa Ulaya

Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya nusu fainali inaanza leo kwa mchezo mmoja wa Durby ya Madrid

 

4 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Real Madrid kidedea klabu Bingwa Ulaya.

Michuano ya klabu Bingwa ulaya imeendelea kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya makundi kuelekea hatua ya 16 bora.

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea wapewa Barcelona Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya

Chelsea wamepangwa kukutana na Barcelona hatua ya 16 bora katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, Tottenham nao wakapewa mabingwa wa Italia Juventus baada ya droo kufanywa.

 

1 year ago

BBCSwahili

Klabu bingwa Ulaya: Je Zinedine Zidane ataepuka shoka Real Madrid?

Baada ya msimu mbaya ambao ni vigumu kuelewa , je ufanisi wa michuano ya klabu bingwa itanusuru kazi Zinedine Zidane katika klabu ya Real Madrid?

 

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Klabu bingwa Ulaya..PSG vs Chelsea yapo hapa

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya, iliyochezwa usiku huu kwenye viwanja viwili tofauti,  ikiwemo uwanja wa Stamford Bridge jijini London na Petrovsky uliopo nchini Urusi  kuna timu zilizonuna na kucheka

Jiji la London, dakika chache zilizopita wenyeji Chelsea wamelazimika kucheze kichapo cha pili mfululizo toka kwa wapinzani wao, PSG kutoka jijini Paris nchini Ufaransa kwa kufungwa bao 2-1, ambapo ushindi huo ni kama ule walioupata timu hiyo ya PSG katika mchezo wao wa awali na kwa maana hiyo,...

 

12 months ago

BBCSwahili

Fainali klabu bingwa Ulaya: Real Madrid wataweza kuizuia mishale ya Liverpool?

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp hana nia ya kubadilsha mbinu za kikosi chake cha 4-3-3 kwenye mechi ya leo Jumamosi

 

3 years ago

Bongo5

Madrid, Wolfsburg zimekua timu za kwanza kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya

article-3482833-3203165100000578-750_636x382

Michuano ya klabu bingwa Ulaya imeendelea usiku wa Mach 8,2016 hatua ya 16 bora kwa michezo mbali mbali.Timu za Real Madrid na Vfl Wolfsburg zimekua timu za kwanza kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya.

Real Madrid wakicheza katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu wameibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya As Roma, mabao ya timu hiyo yakifungwa na Cristiano Ronaldo aliyefunga bao lake la 40 kwa msimu huu, na bao la pili likifungwa na James Rodriguez.

article-3482833-3203165100000578-750_636x382

Nao Wajeruman...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani