Chelsea, Man United, Man City na Tottenham zawika

Hat-trick ya Alvaro Morata imeisaidia Chelsea kuicharaza Stoke City na kuongeza rekodi ya ushindi wao msimu huu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Tottenham, Man City na Liverpool zawika EPL

Klabu ya Tottenham Hotspurs iliandikisha ushindi mkubwa na kuwawekea presha viongozi wa ligi ya Uingereza Chelsea baada ya kuicharaza Watford mabao 4-0.

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsenal, Chelsea na Man United zawika EPL

Arsenal iliicharaza Crystal Palace 4-1 huku Chelsea ikiifunga mdomo Brighton 4-0 katika mechi za ligi ya Uingereza siku ya Jumamosi

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza (EPL): Chelsea, Man U, Man City na Tottenham zafanya vyema.

23

Kwa mara ya kwanza katika msimu huu Alvaro Morata anapiga Hat-Trick na kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Stoke City.

Katika mechi ya Tottenham na West Ham hadi mchezo unamalizika, Tottenham waliibuka na ushindi wa goli 3-2. Nayo Manchester United imeifunga Southamton goli 1-0. Huku Manchester City wakiibamiza bila huruma Cystal Palace 5-0. Nayo Liverpool yakumbuka shuka kukipambazuka kwa kuifunga Leicester City 2-1.

Share on: WhatsApp

The post Ligi kuu Uingereza...

 

3 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..

Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]

The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Nusu fainali Kombe la FA: Chelsea v Tottenham, Arsenal v Man City

Mahasimu wa jiji la London Chelsea na Tottenham wamepangwa kukutana katika nusufainali Kombe la FA nchini Uingereza, Arsenal nao wakapangwa kukutana na Manchester City.

 

3 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stories: Man United wamemfungia Louis van Gaal, Chelsea wapanda dau kwa Stones, Man United na Guardiola ?

Mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda soka, nimekutana na headlines nyingi za soka siku ya Ijumaa ya January 22, kuna mengi yameandikwa kuhusu soka la Uingereza. Naomba nikusogezee ripoti kubwa ya tetesi za usajili kwa vilabu vya soka barani Ulaya hususani Uingereza. Hii ni TOP 5 headlines stories kutoka sokkaa.com 5- Matic kuondoka Stamford Bridge […]

The post TOP 5 Stories: Man United wamemfungia Louis van Gaal, Chelsea wapanda dau kwa Stones, Man United na Guardiola ? appeared first on...

 

4 years ago

BBCSwahili

Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa

Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupitia mchezo mzuru wa timu yake Sunderland.

 

4 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani