Chelsea na Arsenal kukabiliana nusu fainali ya Carabao

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard atashiriki katika mechi dhidi ya Arsenal katika awamu ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la Carabao siku ya Jumatano baada ya kupona jereha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Nusu fainali Kombe la FA: Chelsea v Tottenham, Arsenal v Man City

Mahasimu wa jiji la London Chelsea na Tottenham wamepangwa kukutana katika nusufainali Kombe la FA nchini Uingereza, Arsenal nao wakapangwa kukutana na Manchester City.

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare na Arsenal kombe la Carabao

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte ameunga mkono utumizi wa mfumo wa video unaowasaidia marefa baada ya timu yake kutoka sare tasa na Arsenal katika nusu fainali ya kombe la Carabao

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea yailaza Everton na kutinga robo fainali ya Carabao

Kaimu mkufunzi wa Everton David Unsworth amesema kuwa timu yake ilimfurahisha licha ya kutolewa katika mechi ya kuwania kombe la carabao dhidi ya Chelsea

 

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea kukabiliana na Arsenal darajani

Eden Hazard amepona jeraha la kifundo cha mguu na anaweza kuanza mechi yake ya kwanza tangu msimu uanze dhidi ya Arsenal

 

2 years ago

Mwananchi

Chelsea, Tottenham nusu fainali FA

Chelsea na Tottenham wanakutana kwa mara nyingine katika 'derby' ya London kwenye mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la FA, mechi itakayopigwa katika Uwanja wa Wembley.

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea -nusu fainali Capital Cup.

Chelsea, waliwachabanga timu ya Derby County, Bao 3-1 kwenye Kombe la Ligi maarufu kama Capital One Cup, na kutinga Nusu Fainali.

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaifuata Chelsea fainali ya FA

Washika mitutu wa London klabu ya Arsenal imetinga fainali ya kombe la kombe Fa baada ya kuwachapa matajiri Manchester City.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani