Chelsea, Tottenham nusu fainali FA

Chelsea na Tottenham wanakutana kwa mara nyingine katika 'derby' ya London kwenye mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la FA, mechi itakayopigwa katika Uwanja wa Wembley.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Nusu fainali Kombe la FA: Chelsea v Tottenham, Arsenal v Man City

Mahasimu wa jiji la London Chelsea na Tottenham wamepangwa kukutana katika nusufainali Kombe la FA nchini Uingereza, Arsenal nao wakapangwa kukutana na Manchester City.

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea kuchuana na Tottenham fainali

Tottenham ilitoka nyuma na kuishinda kilabu ya ligi ya daraja la kwanza Sheffield United na kuweka tarehe na Chelsea

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea -nusu fainali Capital Cup.

Chelsea, waliwachabanga timu ya Derby County, Bao 3-1 kwenye Kombe la Ligi maarufu kama Capital One Cup, na kutinga Nusu Fainali.

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea na Arsenal kukabiliana nusu fainali ya Carabao

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard atashiriki katika mechi dhidi ya Arsenal katika awamu ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la Carabao siku ya Jumatano baada ya kupona jereha

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili

 

2 years ago

Bongo5

N’golo Kante ageuka adui wa Man United, aipeleka Chelsea nusu fainali ya FA

Kiungo wa klabu ya Chelsea, N’golo Kante ameendelea kuwa mwiba mchungu kwa Manchester United baada ya bao lake kufanikiwa kuiondoa timu hiyo kwenye michuano ya kombe la FA usiku wa Jumatatu hii.

Hii ni mara ya pili kwa mchezaji huyo kuifunga Man United tangu asajiliwe na Chelsea mwanzoni mwa msimu huu huku goli lake la kwanza alifunga katika ushindi wa mabao 4-0 walioupata katika mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Uingereza.

Chelsea ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya United ambayo kwa...

 

2 years ago

Michuzi

FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP NI TIMU ZA KENYA,YANGA YAONDOLEWA NUSU FAINALI

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MABINGWA Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom (VPL) Yanga leo wameaga amashindano ya SportPesa Super Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru ulianza majira ya saa 8 kamili kwa kuzikutanisha timu ya Yanga dhidi ya AFC Leopard ya nchini Kenya.Mpaka dakika 90 za mpira zinamalizika timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani