Chelsea yakubali kumuuza Diego Costa Atletico Madrid

Chelsea imekubaliana na Atletico Madrid kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Diego Costa arudi Uhispania

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea: Diego Costa amesema klabu hiyo inataka kumuuza

Akiongea baada ya sare ya 2-2 kati ya Uhispania na Colombia Jumatano, Costa aliongeza: "Uhusiano wangu na mkufunzi huyo umekuwa mbaya msimu huu."

 

2 years ago

BBCSwahili

Diego Costa avalia jezi ya Atletico Madrid

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uhispania, Diego Costa amepiga picha za video akifurahia likizo yake huku akiwa amevalia jezi ya Atletico Madrid.

 

1 year ago

BBCSwahili

Atletico Madrid 1-0 Arsenal: Diego Costa afunga na kuwazuia Gunners kufika fainali Europa League

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger alipoteza fursa pekee ya kushinda kombe msimu wake wa mwisho akiwa katika klabu hiyo baada ya kuchapwa na Atletico Madrid Europa League.

 

5 years ago

BBCSwahili

Diego Costa ajiunga na Chelsea

Mshambulizi wa Atletico Madrid,Diego Costa hatimaye amejiunga na Chelsea kwa miaka 5 ijayo.

 

4 years ago

Mtanzania

Higuain kumwondoa Diego Costa Chelsea

gonzalo-higuain-barça2014LONDON, ENGLAND

KLABU ya Chelsea imeanza kumfukuzia mshambuliaji wa Napoli, Gonzalo Higuain ambaye anaweza kuchukua
nafasi ya Diego Costa wakati wa dirisha dogo la usajili Januari mwakani.

Klabu hiyo imefanya maamuzi hayo baada ya kuona kwamba mchezaji wao huyo amekuwa na matukio mbalimbali ambayo hayaisaidia timu hiyo.

Kutokana na hali hiyo Costa ametakiwa kubadilika ili kuweza kuisaidia timu hiyo ambayo kwa sasa imekuwa na wakati mgumu katika michuano ya Ligi Kuu nchini England.

Hata...

 

3 years ago

BBCSwahili

Conte: Diego Costa atasalia Chelsea

Meneja mpya wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amesema mshambuliaji Diego Costa atasalia katika klabu hiyo msimu ujao.

 

2 years ago

Bongo5

Chelsea yapeta bila Diego Costa

Vinara wa ligi kuu ya England, Chelsea waliendelea kujikita kileleni kwa kuwachakaza mabingwa watetezi Leicester City kwa mabao 3-0 bila ya mshambuliaji wake tegemezi ambaye inasemekana ana matatizo Na benchi la ufundi, Diego Costa.

Chelsea walipata mabao yao kupitia Marco Alonso aliyeingia kambani mara mbili, huku mshambuliaji wa kihispania Pedro akimalizia msumari wa mwisho kwa kupachika bao la tatu.

Matokeo ya mechi za awali Spurs na Arsenal walipaata ushindi wa goli 4 kila mmoja. Spurs...

 

2 years ago

BBCSwahili

Diego Simeone ajifunga Atletico Madrid mpaka 2020

Kocha wa Klabu ya Atletico Madrid Diego Simeone amezima tetesi za kuhamia klabu ya Inter Milan ya Italia baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kufundisha miamba hiyo ya jiji la Madrid.

 

2 years ago

BBCSwahili

Conte: Diego Costa anataka kusalia Chelsea

Diego Costa anataka kuendelea kusalia Chelsea na ni miongoni mwa wachezaji walio tayari kucheza mechi ya Ligi Kuu ya Engand dhidi ya Hull Jumapili, meneja Antonio Conte amesema.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani