Chelsea yatoka sare na Arsenal kombe la Carabao

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte ameunga mkono utumizi wa mfumo wa video unaowasaidia marefa baada ya timu yake kutoka sare tasa na Arsenal katika nusu fainali ya kombe la Carabao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare ya 0-0 na Arsenal

Hii inamuacha meneja Arsene Wenger na matumaini kidogo baada ya kichapo cha mabao 4-0 walipocheza na Liverpool mwezi uliopita.

 

3 years ago

Bongo5

Arsenal yavuliwa ubingwa Kombe la FA, Man United yatoka sare na West Ham

article-3490171-32291ED900000578-106_636x382

Michuano ya kombe la FA iliendelea tena jana kwa mabingwa wake Arsenal kuvuliwa ubingwa baada ya kufungwa na Watford kwa mabao 2-1.

160313152441_arsenal__640x360_allsport_nocredit

Magoli ya Watford yalifungwa na Odion Ighalo na Adlene Guedioura huku bao la kufutia machozi la Arsenal likifungwa na Danny Welbeck.

Katika mchezo mwingine Manchester United walitoka sare na West Ham united ya bao 1-1.

3228F85C00000578-0-image-a-40_1457890462983

Goli la West Ham lilifungwa na mchezaji Dimitri Payet dakika ya 68 kipindi cha pili, huku bao la kusawazisha la Manchester United likipachikwa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea na Arsenal kukabiliana nusu fainali ya Carabao

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard atashiriki katika mechi dhidi ya Arsenal katika awamu ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la Carabao siku ya Jumatano baada ya kupona jereha

 

1 year ago

BBCSwahili

Man City washindi wa kombe la Carabao, wailaza Arsenal 3-0

Pep Guardiola ameshinda taji lake la kwanza msimu huu baada ya Manchester City kuifunga Arsenal katika fainali za kombe la Carabao mchezo uliopigwa kwenye dimba la Wembley.

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare na Southampton

Chelsea imeendeleza uongozi wake katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kupata droo ya 1-1 dhidi ya Southampton

 

3 years ago

BBCSwahili

Tottenham yatoka sare na Arsenal

Alexis Sanchez alisawazisha na kuifanya timu yake iliokuwa na wachezaji 10 uwanjani kupata pointi moja huku timu ya Tottenham Hotspurs ikikosa fursa muhimu ya kupanda katika uongozi wa jedwali la ligi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatoka sare na Tottenham

Harry Kane alionyesha umahiri wake baada ya kuuguza jereha kwa majuma saba kwa kufunga bao la kusawazisha dhidi ya wenyeji Arsenal

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare na Mancity darajani

Chelsea iliimarisha uongozi wake katika jedwali la ligi ya Uingereza dhidi ya Manchester City baada ya kutoka sare ya 1-1.

 

5 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare ya 1-1 na West Brom

Chelsea imepoteza nafasi ya kusalia kileleni mwa ligi kuu ya Premier baada ya kutoka sare na West Brom

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani