Chenge asema kitendo cha polisi ni cha ovyo, kinyama

Mkazi wa Kitongoji cha Kiswanya, Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania Amina Mapunda (26), alijifungua nje ya kituo cha polisi baada ya kutolewa mahabusu alikokuwa akishikiliwa kwa tuhuma zilizomhusu mumewe anayedaiwa kununua kitanda cha wizi.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

JESHI LA POLISI DODOMA LASIKITISHWA NA KITENDO CHA DEREVA WA TUNDU LISSU KUTOFIKA POLISI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto ameeleza kusikitishwa kwao na kitendo cha dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kutokufika polisi na kutoa maelezo yake.

Kamanda Muroto amesema hayo leo Jumatano wakati akijibu swali la upelelezi unaendeleaje kuhusu tukio hilo.

Amesema upepelezi unaendelea kuhusu tukio la Lissu kupigwa risasi na watu mbalimbali wanaendelea kuhojiwa wakiwemo wamiliki nane wa gari aina ya Nissan ambazo zilikamatwa kuhusiana na shambulizi...

 

3 years ago

Bongo5

Nahreel asema hakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwa utambulisho wake kwenye wimbo wa ‘Nana’

Nahreel

Kuna baadhi ya watu huenda hawafahamu kuwa mdundo wa ‘Nana’ wa Diamond Platnumz ni zao la producer Nahreel wa The Industry, na hii ni kutokana kwamba haina ule utambulisho wa kazi zake ‘Nahreel on the beat’ ambao husikika kwenye kazi zote alizotayarisha.

Nahreel

Nahreel amesema kuwa kiashirio cha producer kwenye wimbo huo kiliondolewa kwa sababu ambazo hakuona kama zina uzito.

“Sababu walizosema walisema tu stori ilivyoanza pale mbele ile slogan yangu ingeleta hitilafu lakini it doesn’t make sense,...

 

3 years ago

Bongo5

Kitendo cha kupupuruka mwili nikawa kama AT kwangu itakuwa ni fedheha kubwa sana– Asema Msechu

Peter Msechu

Peter Msechu hana mpango wa kupungua mwili ili awaridhishe mashabiki ambao wamekuwa wakimsema kutokana na kujiachia sana mwili.

Peter Msechu

Muimbaji huyo wa ‘Nyota’ anaamini kuwa mwonekano alionao sasa ni moja ya utambulisho wake, hivyo akipungua mwili inaweza kuharibu ‘image’ yake. Mfano wa anachokimaanisha hapo ni kama Baghdad wa zamani na alivyo sasa unaweza kumsahau baada ya kupungua sana.

baghdad wa zamani na sasa
Kushoto Baghdad wa sasa, kulia wa zamani

“Mi ninachokiogopa kwenye maisha yangu ni kuwa model, sababu nadhani...

 

2 years ago

Malunde

KAMATI YA BUNGE YAKERWA NA KITENDO CHA POLISI KUWAINGILIA KWA KUWAKAMATA WAANDISHI

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imelaani kitendo cha jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mwandishi wa habari wa gazeti la Nipashe, Agusta Njoji kutokana na habari aliyoiandika mwishoni mwa wiki.

Mwenyekiti wa kamati hiyo Nagenjwa Kaboyoka aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa kitendo kilichofanywa na polisi Mkoa wa Dodoma ni kutaka kuminya na kuficha maovu ambayo yamejaa ndani ya jeshi hilo.
Njoji aliandika habari kutoka kwenye kamati hiyo wakati PAC ilipokutana na viongozi wa...

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli akerwa na kitendo cha Manji na Gwajima kwenda na mashabiki wao Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Dar es Salaam, Dkt John Pombe Magufuli amechukizwa na kitendo cha watu kwenda Kituo Kikuu Polisi (Central) na kuanza kuosha gari la mtuhumiwa huku wengine wakienda na kwaya katika eneo hilo.

Rais Magufuli ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha maafisa mbalimbali huku akiwaagiza kuchapa kazi bila kumuogopa mtu yeyote. Tukio hilo lilitokea Alhamisi iliyopita wakati mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji alipokwenda kuripoti polisi na baadhi ya mashabiki wake...

 

1 year ago

Malunde

TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA

Baada ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu Leo January 9, 2018 Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji kwa ajili ya matibabu ametoa mtazamo wake kuhusu suala hilo
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lissu amepost picha inayomuonesha Lowassa akiwa Ikulu na kuandika maelezo haya; “Na hatukatai kuzungumza na Magufuli kuhusu matatizo mengi na makubwa yanayoikabili nchi yetu.”
“Lakini ni muhimu na lazima viongozi wakuu wa chama...

 

3 years ago

Dewji Blog

TBN yalaani kitendo cha gazeti la Majira kutumia picha ya Michuzi Blog bila kutaja chanzo cha habari

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ (TBN) kinasikitishwa na kulaani vitendo vya baadhi ya Vyombo vya Habari kutumia kazi za wanachama wake (picha, video, habari) bila idhini na bila kutoa maelezo stahiki ya vyanzo vya kazi hizo.

Mfano mmoja ni Gazeti la kila siku la Majira, toleo namba 8217 la Alhamisi Julai 7, 2016 ambalo bila aibu lilichukua picha katika Mtandao wa Michuzi Blog ina kuitumia pamoja na malezo yake bila ridhaa wala kutoa ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Baraza la Habari Tanzania limekemea vikali kitendo cha Mkuu wa mkoa kuvamia kituo cha habari

Baraza la Habari Tanzania limekemea vikali  kitendo cha  Mkuu wa mkoa wa Dar es salamu Paul Makonda kuvamia kituo cha habari Clous Media akiwa na Askari wakiwa na silaha.

Katibu Mtendaji wa baraza hilo Kajubi Mukajanga akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani)

Akizungumza na Waandishi wa Habari Katibu Mtendaji wa baraza hilo Kajubi Mukajanga amesema kitendo cha kuvamia  chombo cha habari na silaha ni kitendo cha kushtua na kutia hofu waandishi kwani ni kinyume na sheria.

Hata hivyo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani