CHIFU LYEMBA - Mgombea urais mwenye watoto zaidi ya 20

Kama angefanikiwa kushinda kiti cha urais, hakuna ubishi kwanza Tanzania ingeweka historia kwa kumchagua kiongozi mwenye wake na watoto wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

CCM INA UWEZO WA KUTAFUTA MGOMBEA WA URAIS MWENYE SIFA - RAZA  Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mohamed Raza akionesha baadhi ya vifungu vya sheria vilivyopo kwenye kitabu kidogo cha sheria za Zanzibar,Mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa BB Swahili nchini Tanzania,Arnold Kayanda akifanya mahojiano mafupi na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Raza mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO...

 

4 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO

Moshi,Kilimanjaro,
Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu 2015,mengi ya kufurahisha yanahibuka kama vile wananchi wa jimbo la Moshi Mjini kumshawishi mgombea waokijana Daudi Babu Mrindoko achukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo 2015,na kumiminia sifa zote zinazofaa kijana huyo wa mjini Moshi achaguliwe.wakazi hao wa jimbo la Moshi Mjini kwa sasa wanadai kuwa kijana wao waliomshawishi achukue fomu ndiye Mgombea kijana mwenye umri mdogo kuliko wengine wote wenye nia ya kugombea...

 

4 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

3 years ago

Mwananchi

Donald Trump ni zaidi ya mgombea urais wa Marekani msema ovyo

Mtia nia ya urais wa Marekani kupitia tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump ameelezewa kuwa tishio kwa wapanga sera za Marekani wajulikanao kama “the stablishment.”

 

2 years ago

Malunde

MZEE MWENYE WATOTO 100 ATANGAZA NIA YA KUZAA ZAIDI ILI AZIKWE VIZURI AKIFA

Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12.
Wakati ulimwengu ulipoadhimisha siku ya idadi ya watu duniani mwanaume mmoja alikuwa na sababu 100 za kusherehekea.
Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12.
Anaishi na familia yake katika kijiji cha Amankrom kilicho umbali wa kilomita 45 kutoka mji mkuu Acca.
Familia yake ni thuluthi moja ya watu 600 katika kijiji hicho.
Anasema kuwa anataka familia kubwa kwa sababu hana ndugu.
Sina kaka wala...

 

4 years ago

CloudsFM

Rais Kikwete ashuhudia kutawazwa kwa Chifu Mkwawa mpya mwenye umri wa miaka 14

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa.Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye anachukua nafasi ya baba yake ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015.Mtwa Adam wa...

 

3 years ago

CCM Blog

OLE SENDEKA AWAASA WAMASAI JAMII YA PARAKUYO KUTEUA CHIFU MWENYE HEKIMA NA BUSARA

Na Bashir Nkoromo, Kibaha
Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, ameongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani.

Katika shughuli hiyo ambayo ilifanyika kimila, Sendeka ambaye alialikwa kuongoza shughuli hiyo Kama kiongozi wa Kimasai anayeheshimika, aliwataka Jamii ya...

 

3 years ago

Channelten

Mgombea urais Donald Trump akutana na mgombea mwenzake

ct2

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Ben Carson, amekutana  Mgombea urais  Donald Trump na
kutangaza rasmi kumuunga mkono Bilionea huyo anayetikisa katika  kampeni za uchaguzi wa awali nchini Marekani.

Kulingana na vyombo vya habari vya Marekani, Carson ambaye alitangaza wiki iliyopita kuachana na azma yake ya kugombea Urais, amekutana na Trump na kutangazakumuunga mkono Bilionea huyo katika mkutano na waandihi wa habari utakaofanyika katika jimbo la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani