Chimbuko la mchezaji wa Man United na Ufaransa Paul Pogba

Paul Pogba alianza kuvutia klabu kadhaa kabla ya ya kufikisha umri wa miaka 17 alipoondoka nyumbani na kujiunga na Manchester United kutoka klabu ya Ufaransa ya Le Havre.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
3 years ago
BBCSwahili
Paul Pogba: Manchester United wamnunua kiungo wa Ufaransa kwa £89m
3 years ago
MillardAyo07 Jul
Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba
Baada ya kocha wa Manchester United Jose Mourinho kutambulishwa Old Trafford alifanya mkutano na waandishi wa habari na kuweka wazi kuwa mipango yao kwa sasa ni kusajili wachezaji wanne na kati ya hao watatu tayari wameshafanikiwa kuwasajili ila anaamini mmoja atafanikiwa kumsajili mapema pia bila kumtaja jina. July 7 2016 taarifa kutoka Italia zilizoripotiwa na Di […]
The post Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba appeared first on MillardAyo.Com.
3 years ago
MillardAyo09 Aug
PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba August 8 2016 aliwasili katika klabu ya Man United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake utakaoweka rekodi ya dunia, Pogba amewasili katika uwanja wa mazoezi wa Man United. Pogba amewasili katika uwanja wa AON unaotumiwa na Man United kwa ajili ya […]
The post PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake appeared first on millardayo.com.
3 years ago
MillardAyo27 Jul
Real Madrid wanavyovuruga dili la Paul Pogba kujiunga na Man United
Bado July 27 2016 mitandao ya soka Ulaya imeandika headlines za usajili za kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United, dili la Pogba kujiunga na Man United lilikuwa linatarajiwa kukamilika kabla hata la Gonzalo Higuain kujiunga na Juventus. Man United wametuma ofa ya pound […]
The post Real Madrid wanavyovuruga dili la Paul Pogba kujiunga na Man United appeared first on millardayo.com.
3 years ago
MillardAyo07 Aug
Mashabiki wa Man United pokeeni good news kuhusu Paul Pogba
Headlines za kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United, zinaelekea kumalizika kwa kiungo huyo kurudi Man United toka aondoke mwaka 2012. Leo August 7 2016 klabu ya Juventus ambayo ilikuwa inahitaji rekodi ya dunia ya usajili ya pound milioni 100 kama ada ya […]
The post Mashabiki wa Man United pokeeni good news kuhusu Paul Pogba appeared first on millardayo.com.
3 years ago
Bongo508 Aug
Juventus ya toa ruhusa Paul Pogba kufanyiwa vipimo Man United
Klabu ya Juventus imetoa ruhusa kwa kiungo Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake kujiunga na Manchester United.
Pogba, 23, amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kwa bei ya kuvunja rekodi ya dunia ya ununuzi wa wachezaji ya pauni milioni moja.
Meneja wa United Jose Mourinho alikuwa amedokeza kwamba klabu hiyo ilikuwa imekaribia sana kumpata Pogba.
Kuanzia saivi Pogba anaweza kutangazawa kama mchezaji wa Manchester United.
Tovuti ya Man United imeandika...
3 years ago
MillardAyo22 Jul
Dalili nyingine ya kuwa Paul Pogba atatua Man United msimu huu
Klabu ya Manchester United inayofundishwa na kocha mreno kwa sasa Jose Mourinho imerudi kwenye headlines baada ya July 21 kutoa namba za jezi watakazovaa wachezaji wake kwa msimu wa 2016/2017, Man United wametangaza namba hizo za jezi na kuiacha namba ambayo inaaminika kuwa katengewa Paul Pogba. Man United ambayo usiku wa July 20 iliripotiwa na […]
The post Dalili nyingine ya kuwa Paul Pogba atatua Man United msimu huu appeared first on millardayo.com.
1 year ago
BBCSwahili
Paul Pogba: Nyota wa Man United kukaa nje wiki sita kutokana na jeraha
3 years ago
Bongo516 Mar
Paul Scholes aitaka United kuwasajili Raphael Varane, Luka Modric na Paul Pogba

Star wa zamanai wa Manchester United Paul Scholes amesema klabu yake hiyo ya zamani iwasajili Luka Modric, Raphael Varane na Paul Pogba katika dirisha lijalo la usajili kama kweli timu hiyo inataka kurejesha mafanikio yake barani Ulaya Scholes aliyesema hayo katika United We Stand fanzine.
Huku pakiwa kuna mabadiliko kadhaa yanatarajiwa kufanyika Manchester United kwa kusajili nyota wapya pamoja na kuwafungisha virago wachezaji waliochemsha, hii ikiwa ni pamoja na benchi la ufundi...