China haitotetereka na ongezeko kodi za vifaa kutoka US

China imesema haitainua mikono kutokana na shinikizo kutoka nchi za nje, kufuatia hatua ya Marekani ya kuongeza ushuru unaotozwa bidhaa kutoka nchini humo, kutoka asili mia kumi hadi asili mia 25.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

TAREHE YA MWISHO YA KULIPA KODI YA MAPATO NA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT)

 ISO 9001:2008 CERTIFIED
Walipakodi wote wanakumbushwa kuzingatia mwisho wa kulipa kodi ya Mapato na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) PASIPO ADHABU
1.O ULIPAJI WA KODI YA MAPATO – MAKADIRIO YA AWALI
⦁ walipakodi wote ambao hesabu zao za mizania zinaishia tarehe 30/06/2016, wanapaswa kulipa sehemu ya nne ya makadirio ya awali ya mwaka 2016⦁ walipakodi wote ambao hesabu zao za mizania zinaishia tarehe 30/09/2016, wanapaswa kulipa sehemu ya tatu ya makadirio ya awali ya mwaka 2016⦁ walipakodi...

 

1 year ago

Michuzi

Idara ya Habari (MAELEZO) Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China

 Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya Krismasi kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke  mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akipokea zawadi ya Krismasi kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wizara ya afya Zanzibar yapokea msaada wa dawa na vifaa tiba kutoka China

Mkurugenzi  Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar  Zahran Ali Hamad amesema upatikanaji wa huduma ya dawa muhimu katika wodi za wazazi umefikia asilimia 96 na wazazi wamekuwa wakipata huduma bila usumbufu.

Amesema Bohari Kuu ya dawa hivi sasa imeimarika na wamekuwa wakisambaza dawa hizo katika Hospitali na vituo vya Afya kwa wakati kwa mujibu ya mahitaji yao.

Mkurugenzi Zahrani ameeleza hayo Ofisini kwake  Maruhubi baada ya Wizara ya Afya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba venye thamini ya zaidi ya...

 

4 years ago

Michuzi

Waziri Mukangara apokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Serikali ya China

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabibidhiwa msaada wa vifaa vya michezo kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Balozi wa China hapo nchini Lu Youqing na Mwakilishi Mkuu wa Wafanyabiashara kutoka China waishio nchini Lin Zhiyong. Jumla ya vifaa kumi na nne vimetolewa ambavyo ni Roboti ya kujifunzia mpira wa Meza, Kifaa cha...

 

3 years ago

Michuzi

WIZARA YA HABARI YAPOKEA VIFAA VYENYE THAMANI ZAIDI YA SH.MILIONI 20 KUTOKA UBALOZI WA CHINA NCHINI.

Na Shamimu Nyaki-WHUSM. 
Ubalozi wa China nchini umeipatia Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo vifaa vya ofisi vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 ikiwa ni kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Serikali hizo mbili.

Hatua hiyo imekuja ikiwa na lengo la kusaidia katika kukuza na kuendeleza sekta ya sanaa ambayo katika mpango wa miaka mitano ya maendeleo ya Serikiali inatakiwa kuongeza ajira pamoja na pato la taifa kupitia kazi mbalimbali za sanaa.

Akizungumza wakati...

 

2 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya Zanzibar yapokea msaada wa dawa na vifaa tiba kutoka Serikali ya watu wa China

Mkurugenzi  Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar  Zahran Ali Hamad amesema upatikanaji wa huduma ya dawa muhimu katika wodi za wazazi umefikia asilimia 96 na wazazi wamekuwa wakipata huduma bila usumbufu.

Amesema Bohari Kuu ya dawa hivi sasa imeimarika na wamekuwa wakisambaza dawa hizo katika Hospitali na vituo vya Afya kwa wakati kwa mujibu ya mahitaji yao.

Mkurugenzi Zahrani ameeleza hayo Ofisini kwake  Maruhubi baada ya Wizara ya Afya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba venye thamini ya zaidi ya...

 

5 years ago

Mwananchi

Serikali itoe ufafanuzi ongezeko hili la kodi

Ongezeko la ghafla la kodi ya asilimia 20 kwa bia na vinywaji vikali na baridi ambalo lilitangazwa na Serikali mwezi huu limewaacha watengenezaji wa bidhaa hizo wakiwa katika mfadhaiko mkubwa.

 

2 years ago

Mwananchi

Tafsiri za Kiuchumi Ongezeko la Kodi ya Kukusanywa na TRA

Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2017/18 inatarajiwa kusomwa leo. Yapo mengi yanayofahamika na yasiyofahamika kuhusu bajeti hii. Kati ya mambo yanayofahamika ni kuwa bajeti ya 2017/18 inatarajiwa kuwa ya takriban Sh31.6 trilioni ikilinganishwa na ile ya Sh29.5 trillion ya mwaka wa fedha 2016/17.

 

3 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Ongezeko la kodi bajeti lisiguse bidhaa za viwandani

Limekuwa ni jambo la kawaida katika bajeti ya Serikali ya kila mwaka, kusikia bei zikiongezeka kwa bidhaa kama bia, soda, sigara kwa kisingizio kwamba bidhaa hizo ni za anasa. Vilevile kumekuwapo na tabia ya kupandisha kodi za petroli, dizeli na mafuta ya taa kama njia mojawapo ya kuongeza mapato kwa shughuli za maendeleo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani