China kufadhili wanafunzi elimu ya ufundi

NA NTAMBI BUNYAZU
Mjumbe wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China, Dk. Annie Wu, amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini humo.
Alisema lengo la kufanya hivyo ni kukuza na kudumisha uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na China.
Dk. Wu amekuja nchini kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete, ambapo amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome.
Katika mazungumzo hayo alimwambia...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

TBL Group kufadhili elimu ya ufundi kwa vijana

Meneja wa Mafunzo wa TBL Group, Gasper Tesha

Meneja wa Mafunzo wa TBL Group, Gasper Tesha

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

KAMPUNI ya TBL Group imeahidi kuendelea kuwaunga mkono vijana wa Tanzania kwa kuwawezesha kupata elimu ya ufundi stadi katika vyuo vya Veta kupitia mpango maalumu wa kupata elimu zaidi ya vitendo kuliko nadharia unaojulikana kitaalamu kama ‘Dual Apprenticeship programme’.

Mpango huo  unaoendeshwa na Serikali kupitia taasisi zake za mafunzo ya ufundi kwa kushirikiana na Chama cha Wenye Ujuzi cha Hamburg,...

 

4 years ago

Michuzi

CHINA YAZIDI KUFADHILI WANAFUNZI KATIKA SHAHADA YA PILI NA UZALIMVU

 Balozi Mdogo wa China nchini, Zhang Biao akizungumza katika hafla fupi ya kuwaaga wanafunzi wanaokwenda kusoma nchini China hafla iliyofanyika ubalozi wa China  jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa  Sycilia Temu wakati wa kuwaaga wanafunzi 78 wanaokwenda kusoma nchini China  kwa ufadhili wa nchi ya China jijini Dar es Salaam jana.

 Balozi Mdogo wa China nchini, Zhang Biao akizungumza na mwakilishi wa mkuu wa chuo cha Kiislam cha...

 

2 years ago

Dewji Blog

China kufadhili wanafunzi 120 wanaosomea lugha ya kichina kila mwaka

Ushirikiano wa kiutamaduni baina ya nchi ya Tanzania na China unazidi kuimarika ambapo ubalozi wa China nchini umepanga kufadhili wanafunzi wa elimu ya juu 120 kila mwaka ambao wanakwenda kusomea tamaduni na lugha ya kichina nchini humo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nuru Millao katika maonyesho ya kuenzi watunzi na waandishi wa tamthilia wa nchini China, ametoa wito kwa vijana kuitumia fursa hiyo ya kielimu.

“Vijana wengi wanakwenda China kujifunza...

 

3 years ago

Channelten

Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako leo amesitisha mkataba wa ajira wa mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

profjoycendalichako

Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako leo amesitisha mkataba wa ajira wa mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu  bwana George Nyatega kutokana na udhaifu wa kiutendaji katika bodi hiyo ya mikopo.

Aidha Profesa Ndalichako amewasimamisha kazi wakurugenzi wengine watatu ambao ni mkurugenzi wa fedha na utawala bwana Yusuph Kisare ,mkurugenzi wa urejeshaji mikopo bwana Juma Chagonja pamoja na mkurugenzi wa upangaji na utoaji mikopo...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI (VETA) MAKAO MAKUU, CHANG`OMBE JIJINI DAR ES SALAAM.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na wafanyakazi wa VETA Makao Makuu (hawapo pichani) alipofanya ziara katika mamlaka hiyo Changombe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA Geofrey Sabuni na kulia ni Wakurugenzi wa Wizara hiyo walioongozana na Naibu waziri.Wafanyakazi wa VETA Makao Makuu wakimsikiliza Naibu Waziri Mhandisi Stella Manyanya wakati wa ziara hiyo.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA Geofrey Sabuni...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UFUNDI ENG. STELLA MANYANYA APONGEZA MAENDELEO YANAYOFANYWA NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE)WAKATI WA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA BARAZA HILO

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi  na Mafunzo ya Ufundi,Eng. Stella Manyanya(kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwera(kulia)Wakati alipotembelea chumba cha maktaba ya kutunzia nyaraka alipofanya ziara maalumu ya kikazi,Makao makuu ya baraza hilo jijini Dar es Salaam.Wapili toka kushoto Mkurugenzi Msaidizi  wa Wizara hiyo Eng.Enock Kayani na  Mratibu wa maktaba ya Nacte, Clara Kihombo.   Naibu Waziri wa...

 

1 year ago

Michuzi

Jeshi la Wokovu kufadhili vijana 300 kupata mafunzo ya Ufundi Stadi

Kaimu Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar es Salaam Florence Kapinga akizungumza katika hafla ya makubaliano ya VETA kusomesha vijana 300 wenye mahitaji maalum katika mafunzo ya ufundi stadi katika eneo la Hoteli na Utalii , mafunzo hayo yamefadhiliwa na jeshi la Waokovu hafla hiyo imefanyika katika kumbi wa jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Jumla ya vijana 300 wanaotoka katika mazingira magumu wilaya ya Temeke wanatarajia kupata ufadhili wa kusoma mafunzo ya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Dini hudhuru wanafunzi, wizara ya elimu China yasema

Serikali katika mkoa wa Gansu, China imeagiza wasimamizi wa shule kutekeleza kikamilifu marufuku ya kutokubalia shughuli zozote za kidini shuleni.

 

2 years ago

Michuzi

ELIMU SOLUTION WASAFIRISHA WANAFUNZI 50 KWENDA KUSOMA NCHINI CHINA

 Mkurugenzi wa Elimu Solution, Neithan Swed akizungumza na  waandishi kuhusu kampuni ya Elimu Solution ilivyoweza kusafirisha wanafunzi hamsini(50) kwenda kusoma nchini China kwa miaka minne kwa ufadhili leo katika uwanja wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwanadunzi anayekwenda kusoma nchini China, Osmund Mbilinyi akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kuhusu namna alivyoweza kufanikisha kuomba ufadhili wa kusoma nchini china kuputia kampuni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani