China yasema inahofia vitisho vya nyuklia vya Korea Kaskazini

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje Lu Kang amesema kuwa China ilipinga vitendo ama matamshi ambayo huenda yakasababisha hali zaidi ya wasiwasi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yasema China ni kibaraka wa Marekani

Korea kaskazini imemshtumu mshirika wake wa kimataifa China ikimtuhumu kwa kukubali matakwa ya Marekani

 

1 year ago

Channelten

China na Marekani zimekubaliana kwamba Korea Kaskazini inastahili kuwekewa vikwazo vikali Kuhusu Silaha za Nyuklia.

 

korea

China na Marekani zimekubaliana kwamba Korea Kaskazini inastahili kuwekewa vikwazo vikali, baada ya nchi hiyo kufanya majaribio ya makombora na silaha za nyuklia katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.

Hatua hiyo imefikiwa wakati Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likitarajiwa kuimarisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo.

Hapo jana mshauri wa Rais wa Marekani kuhusu usalama wa taifa Susan Rice alikutana na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa China Wang Yi, wakakubaliana juu ya umuhimu wa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafufua mtambo wa nyuklia

Korea Kaskazini imeuwasha mtambo wake wa kinyuklia kwa nia ya kuzalisha madini ya Plutonium.

 

1 year ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kufanyia majaribio nyuklia

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametangaza kwamba taifa hilo litafanyia majaribio silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu karibuni.

 

1 year ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia

Korea Kusini imesema imepata dalili kwamba Korea Kaskazini inajiandaa kufanya jaribio la tano la bomu la nyuklia

 

1 year ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yajibu vikwazo vya UN

Taifa hilo limerusha makombora ya masafa mafupi, kuonyesha ghathabu yake dhidi ya vikwazo vipya vya Umoja wa Mataifa

 

1 year ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kuweka tayari silaha za nyuklia

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amevitaka vikosi vya taifa hilo vijiandae kutumia silaha za nyuklia “wakati wowote”, vyombo vya habari vya serikali nchini humo vimesema.

 

1 year ago

BBCSwahili

Kim asifu mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini

Mkutano mkubwa wa chama tawala nchini Korea Kaskazini umeanza huku Rais Kim Jong Un akisifu hatua zilizopigwa na taifa hilo katika kuunda silaha za nyuklia.

 

10 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafanya 'jaribio kubwa la nyuklia'

Korea Kaskazini inadaiwa kutekeleza jaribio la tano na kubwa zaidi la kifaa cha nyuklia, maafisa wa Korea Kusini wamesema, na kuzua wasiwasi kuhusu juhudi za nyuklia za taifa hilo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani