Chuo cha biashara cha Rungwe na Taasisi ya Yemco zimetiliana saini kuwajengea uwezo wajasiliamali

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Chuo cha kimataifa cha Biashara na Ujasiriajari Rungwe na Taasisi ya Youth Empowerment and Mindset Change Organization (Yemco) leo zimetiliana saini mkataba wa makubaliano wa kuendeleza jamii na kuwajengea uwezo wa ujasiriamali vijana, akina mama na wanavicoba.
Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Rungwe, Dk Lenny Kasoga amesema makubaliano hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,  yataongeza chachu ya kuboresha uwezo wa jamii na kuwa na wataalam wengine wenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

CHUO CHA KODI KUWAJENGEA UWEZO MAWAKALA WA FORODHA ZANZIBAR

Na Oliver Njunwa- Dar es Salaam
Chuo cha Kodi (ITA) pamoja na Chama cha Mawakala wa Forodha Zanzibar (ZFB), vimeingia katika makubaliano ya kushirikiana katika kuwajengea uwezo Mawakala wa Forodha Zanzibar.
Akizungumza mara baada ya hafla fupi ya kutiliana saini makubaliano hayo, iliyofanyika hivi karibuni katika Chuo cha Kodi jijini Dar es salaam, Mkuu wa Chuo hicho Prof. Isaya Jairo amesema kwamba, makubaliano hayo ni muhimu kwani kila upande una watalaam wa kutosha kuwasaidia Mawakala wa...

 

12 months ago

Michuzi

Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi WakeNaibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. Kutoka kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi (ITASO), Bi....

 

2 years ago

Michuzi

UNESCO KWA KUSHIRIKIANA NA GPF TANZANIA WAENDESHA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA ,CHUO KIKUU CHA MWALIMU NYERERE

Picha zote na Fredy Njeje
"Kiongozi bora ni pamoja na yule ambaye anahakikisha kuwa kuna amani katika eneo la kazi na watu anaowaongoza" hayo yalisemwa na bwana Nelson aliyekuwa mwakilishi wa Asasi ya Kiraia ya Global Peace Foundation(GPF) Nchini Tanzania wakati wa semina ya vijana katika kushiriki programu mbalimbali za Umoja wa Mataifa iliyoandaliwa na UNESCO kwa kushirikiana na Global Peace Foundation Tanzania. 
Alisema kuwa kiongozi makini ni yule anayehakikisha kuwa kuna amani katika eneo...

 

1 year ago

Michuzi

CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA (TPSC) KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA UMMA JIMBO LA PUNTLAND NCHINI SOMALIA

Wataalamu waandamizi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), wapo nchini Somalia kwa ajili ya kazi ya kuandaa mafunzo ya kuboresha utumishi wa umma katika Jimbo la Puntland nchini Somalia. 
Kazi hiyo inafanyika kwa ushirikiano kati ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania na Chuo Kikuu cha Taifa cha Puntland kilichopo Jimbo la Puntland nchini Somalia. Mkuu wa Chuo Dkt Henry Mambo alisema kwamba watumishi hao waliondoka nchini tarehe 3 mwezi Machi mwaka huu na wanatarajia kurejea...

 

3 years ago

Michuzi

Taasisi ya Uongozi na Chuo cha Utawala China zatia saini hati ya makubaliano.

  Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja (aliyeketi kulia) na Makamu wa Rais wa Chuo cha Utawala China Bw. Chen Li (aliyeketi kushoto) wakisaini hati za makubaliano ya ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili mapema leo jijini Dar es Salaam. Katika makubaliano hayo, Chuo cha Utawala China kitatoa fursa kwa watumishi wa umma nchini Tanzania kwenda kupokea mafunzo ya kiutawala nchini China, pamoja maandalizi ya makongamano tofauti tofauti na utoaji wa mihadhara kuhusu...

 

3 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano wa mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano juu ya mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro mjini Moroni katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 19 Januari, 2016 na kuhudhuriwa na uongozi wote wa Chuo Kikuu cha Komoro, Balozi wa Komoro nchini Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui Mohamed na Mwakilishi wa Balozi wa Tanzania nchini Komoro, Bw Mudrik Ramadhan Soragha.  Makubaliano kati ya vyuo hivi ni moja ya matokeo ya ziara ya nchini Komoro ya Mheshimiwa Dkt. Ali...

 

4 years ago

Dewji Blog

Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC

EASTC 7

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).

Na Veronica Kazimoto, MAELEZO

Chuo cha Takwimu Mashariki...

 

1 year ago

Michuzi

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO CHA UKAMANDA DULUTI

Kushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akitiliana saini na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mkataba mpya wa ushirikiano (MoU) kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha  unadhimu Duluti .Anayeshuhudiana wa kwanza kulia kwa upande wa chuo cha uhasibu Arusha ni Denson Ndiyemalila,upande wa kushoto ni shuhuda ni Emmanuel Nyivambe kutoka chuo cha Unadhimu Duluti.zoezi hilo lilifanyika katika chuo cha Uhasibu juzi jijini...

 

4 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KUTILIANA SAINI YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA WATALAAM WA TAKWIMU NA CHUO CHA TAKWIMU CHA INDIA

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015. Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal akiangalia vitabu mbalimbali vilivyopo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani