Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi Dk. Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi rais wa serikali ya awamu ya nne Dk.Jakaya Kikwete kuwa mkuu mpya wa chuo hicho baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na rais wa Dk.John Pombe Magufuli Januari mwaka huu.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

Ippmedia

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

3 years ago

Bongo5

Magufuli amteua Kikwete kuwa Mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM

Tanzania_Kikwete1_3259081b

Rais Dkt John Pombe Magufuli amemteua Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Tanzania_Kikwete1_3259081b

Chini ni taarifa ramsi kutoka ikulu:

7b13f92f28c94ffeb9876f6fe2410b82

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amteua JK kuwa Mkuu Wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam

Jakaya-Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Chancellor of the University of Dar es salaam).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Ikulu Jijini Dar es Salaam, imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza tarehe 17 Januari,...

 

2 years ago

Channelten

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa

IMG_8614

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa ili kuleta ubunifu kwenye sekta isiyo rasmi, ikihusisha jamii katika masuala ya ujasiriamali ili kuiwezesha kunufaika na ubunifu wa ujasiriamali na kuhimili ushindani.

**Maafisa kutoka vyuo vikuu vya TUDARCo na TURK wamesema mradi huo utaangalia changamoto zinazowakabili wajasiriamali na kuzitafutia ufumbuzi lengo likiwa kuwezesha wanafunzi, vijana na wanawake ambao wapo...

 

2 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilivyojiimarisha kuwa kitovu cha Kiswahili duniani

Kwa kiasi kikubwa chimbuko la mabadiliko yanayohusu lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki, barani Afrika na dunia nzima, ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani