Chuo Kikuu cha Shanghai China kufundisha Kiswahili

Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University kimezindua programu ya kufundisha lugha ya kiswahili. Aidha, chuo hicho kimezindua Centre for East African Studies. Afisa Ubalozi Ndugu Lusekelo Gwassa alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.

The post Chuo Kikuu cha Shanghai China kufundisha Kiswahili appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

2 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilivyojiimarisha kuwa kitovu cha Kiswahili duniani

Kwa kiasi kikubwa chimbuko la mabadiliko yanayohusu lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki, barani Afrika na dunia nzima, ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

2 years ago

Channelten

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa

IMG_8614

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa ili kuleta ubunifu kwenye sekta isiyo rasmi, ikihusisha jamii katika masuala ya ujasiriamali ili kuiwezesha kunufaika na ubunifu wa ujasiriamali na kuhimili ushindani.

**Maafisa kutoka vyuo vikuu vya TUDARCo na TURK wamesema mradi huo utaangalia changamoto zinazowakabili wajasiriamali na kuzitafutia ufumbuzi lengo likiwa kuwezesha wanafunzi, vijana na wanawake ambao wapo...

 

3 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano wa mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano juu ya mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro mjini Moroni katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 19 Januari, 2016 na kuhudhuriwa na uongozi wote wa Chuo Kikuu cha Komoro, Balozi wa Komoro nchini Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui Mohamed na Mwakilishi wa Balozi wa Tanzania nchini Komoro, Bw Mudrik Ramadhan Soragha.  Makubaliano kati ya vyuo hivi ni moja ya matokeo ya ziara ya nchini Komoro ya Mheshimiwa Dkt. Ali...

 

4 years ago

Vijimambo

WADAU WA KISWAHILI SIKU YA CHAUKIDU CHUO KIKUU CHA HOWARD


 Asha Nyang.anyi akiwa kwenye meza akikagua majina ya wadau wa Kiswahili kwenye sherehe ya  Chama Cha Ukuzaji Wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) inayoendelea sasa hizi chuo kikuu cha Howard kilichopo Washington, DC na Rais msataafu Ali Hassan Mwinyi atakua mgeni rasmi.Wadau wa Kiswahili wakiendelea kuingia ukumbini. Wadau kutoka Zanzibar wakipata picha Walimu wa kiswahili wa vyuo mbalimbali wakipata picha ya pamoja. wadau wa Kiswahili wakihudhuria sherehe ya CHAUKIDU Walimu na maporofesa wa...

 

5 years ago

Bongo5

Video: Wanafunzi wa Kiswahili chuo kikuu cha Florida na project ya wimbo wa Diamond

Hii ni video ya wanafunzi wa awali wa lugha ya Kiswahili walioshiriki kwenye mradi wa mwaka 2014 uitwao African Language Initiative (AFLI) katika chuo kikuu cha, Gainesville, Florida nchini Marekani. Wakijifunza lugha hiyo kwa miezi sita, waliamua kutengeneza filamu hii fupi kama kumbukumbu ya muda mzuri waliokuwa nao kwenye mradi huo ulioongozwa na Wakenya, Filipo […]

 

1 year ago

Michuzi

Dkt. Mahiga ahutubia Chuo Kikuu cha Mambo ya Nje cha China

Wziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha Mambo ya Nje cha China kabla ya wawili hao hawajaelekea kwenye ukumbi kuhutubia wanafunzi.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augastine Mahiga akihutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mambo ya Nje cha China. Dkt. Mahiga alieleza ushirikiano wa Tanzania na China ulipoanza hadi leo na kuwasihi wanafunzi hao waangalie namna y kuuimarisha...

 

4 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA KUNUFAIKA NA USHIRIKIANO KUTOKA CHINA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani