Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa

IMG_8614

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa ili kuleta ubunifu kwenye sekta isiyo rasmi, ikihusisha jamii katika masuala ya ujasiriamali ili kuiwezesha kunufaika na ubunifu wa ujasiriamali na kuhimili ushindani.

**Maafisa kutoka vyuo vikuu vya TUDARCo na TURK wamesema mradi huo utaangalia changamoto zinazowakabili wajasiriamali na kuzitafutia ufumbuzi lengo likiwa kuwezesha wanafunzi, vijana na wanawake ambao wapo...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

3 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano wa mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano juu ya mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro mjini Moroni katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 19 Januari, 2016 na kuhudhuriwa na uongozi wote wa Chuo Kikuu cha Komoro, Balozi wa Komoro nchini Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui Mohamed na Mwakilishi wa Balozi wa Tanzania nchini Komoro, Bw Mudrik Ramadhan Soragha.  Makubaliano kati ya vyuo hivi ni moja ya matokeo ya ziara ya nchini Komoro ya Mheshimiwa Dkt. Ali...

 

3 years ago

Michuzi

NDEREMO,VIFIJO VYATAWALABAADA YA WAHITIMU CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR ES SALAAM KULAMBA NONDOZZZZ

 Wanafunzi waliohitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi wa Biashara wakishangilia wakati wa Mahafali ya 10 ya  Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Dar es Salaam Tudarco yaliyofanyika leo Mwenge, Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Frederick  Shoo, alitunuku  jumla ya wahitimu 733. Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Familia ya Prof Cuthbert  Zebadia Kimambo wa Chuo Kikuu Dar es  Salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa Samwel Cuthbert Kimambo (pichani) kilichotokea alfajiri ya leo tarehe 1 June 2014 kwa ajali ya gari.  Habari ziwafikie wana Kimambo wote popote pale walipo, wana Tarimo wote popote pale walipo; ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wafanyakazi wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.   Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa Baba wa Marehemu, Mtaa wa Kileleni, Nyumba namba...

 

4 years ago

Michuzi

JK AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, 1.6bn/- zapatikana usiku huu diamond jubilee hall dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2...

 

4 years ago

Vijimambo

Chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete...

 

3 years ago

Ippmedia

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi Dk. Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi rais wa serikali ya awamu ya nne Dk.Jakaya Kikwete kuwa mkuu mpya wa chuo hicho baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na rais wa Dk.John Pombe Magufuli Januari mwaka huu.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilivyojiimarisha kuwa kitovu cha Kiswahili duniani

Kwa kiasi kikubwa chimbuko la mabadiliko yanayohusu lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki, barani Afrika na dunia nzima, ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI KILICHOPO CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA

Wasanii wa Kituo cha Utamaduni kilichopo chuo Kikuu cha Tumaini Makumira wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wakicheza ngoma ya Sindimba wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo pichani) alipotembelea kituo hicho hivi karibuni kwa ajili ya kuona shughuli za kitamaduni zinazofanyika kituoni hapo.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wa pili kulia) akiwaangalia wasanii wa Kituo cha Utamaduni kilichopo chuo Kikuu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani