CJ David Maraga draws cheers in Tanzania


CJ David Maraga draws cheers in Tanzania
Daily Nation
Chief Justice David Maraga at the Supreme Court, Nairobi, on September 20, 2017. PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP. Advertisement. By John Namkwahe. Chief Justice David Maraga on Monday attended the opening of the Commonwealth ...

Daily Nation

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

AllAfrica.Com

Kenya: CJ David Maraga Draws Cheers in Tanzania


Kenya: CJ David Maraga Draws Cheers in Tanzania
AllAfrica.com
Chief Justice David Maraga on Monday attended the opening of the Commonwealth Magistrates and Judges Conference, in Dar es Salaam, Tanzania. His introduction at the conference was greeted by a thundering cheer from participants. Judge Maraga ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Kenya yampata jaji mkuu mpya, David Maraga

Jaji David Maraga ameapishwa kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya baada ya kustaafu kwa jaji mkuu wa awali Dkt Willy Mutunga.

 

2 years ago

BBCSwahili

David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteule wa Kenya

Jaji wa mahakama kuu nchini Kenya David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteule wa Kenya.

 

12 months ago

BBC

David Maraga hits back at 'threats' over Kenya election re-run

The Chief Justice is defiant amid violent protests and criticism after he annulled last month's poll.

 

1 year ago

RFI

David Maraga: Uchaguzi unapaswa kufanyika Kenya kwa muda uliopangwa

Jaji Mkuu nchini Kenya David Maraga amesema licha ya muungano wa upinzani kuwasilisha kesi Mahakamani kutaka Tume ya Uchaguzi, kuachana na zabuni iliyotoa kwa kampuni ya Dubai kuchapisha karatasi za kupigia kura, Mahakama itahakikisha kuwa Uchaguzi huo hauahirishwi.

 

12 months ago

BBCSwahili

Jaji mkuu wa Kenya David Maraga akaribishwa kwa shangwe Dar es Salaam

Maraga alishangiliwa na washiriki wakati wa mkutano wa majaji ya mahakimu ambao unafanyika mjini Dar es Salam nchini Tanzania.

 

1 year ago

Michuzi

MFAHAMU JAPO KWA UCHACHE JAJI DAVID MARAGA -MSABATO MWENYE IMANI KALI

.....'I am a God fearing person who believes in, and endeavours to do, justice to all irrespective of their status in society.....' 
Mzaliwa wa Januari 12, 1951, Jaji wa Mahakama ya juu nchini Kenya, David Maraga na wenzake wanne wameweka historia kwa kubatilisha uchaguzi wa urais wa mwezi Agosti na kuamuru kurudiwa ndani ya siku 60 zijazo. (Land Mark Case).
Wakenya na wadau wengine kwingineko duniani wamempongeza Jaji Maraga kwa kuwa jasiri kutengua uchaguzi wa mtu aliyemchagua rais Uhuru...

 

11 months ago

VOASwahili

Kenyatta akutana ana kwa ana na jaji mkuu David Maraga

Kwa mara ya kwanza tangu mahakama ya juu ya Kenya kubatilisha uchaguzi wa tarehe nane mwezi Agosti, Ijumaa rais Uhuru Kenyatta alikutana ana kwa ana na jaji mkuu David Maraga wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha Mashujaa Day kwenye bustani za Uhuru Park mjini Nairobi.

 

1 year ago

Michuzi

TAASISI YA KARIMJEE JIVANJE YAKABIDHI KITABU CHA HISTORIA KWA JAJI MKUU NA RAIS WA MAHAKAMA KUU YA KENYA, DAVID MARAGA MJINI NAIROBI

Meneja Mkuu taasisi ya Karimjee Jivanje, Bi. Devotha Rubama akiwasilisha kitabu cha Historia cha Taasisi ya Karimjee Jivanje kwa Mhe. Jaji Mkuu na Rais wa Mahakama kuu ya Kenya, Mhe. David Maraga EGH katika Taasisi ya Asia na Maonyesho ya Stawisha Maisha mjini Nairobi Mei 12-14. Nyuma ni Mwenyekiti wa Chandaria Foundation na mmiliki wa Aluminium Africa, Bw. Manu Chandaria.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani