CMSA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI KATIKA MASOKO YA MITAJI

MAMLAKA ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) imewaasa watendaji katika masoko ya  Mitaji kuhudhuria mafunzo yanayotambulika katika viwango vya kimaitafa ili kupata ujuzi na kuwa wabobezi katika masoko ya kimaitafa.
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama, katika hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji katika Masoko ya Mitaji (SICC) iliyoendeshwa kati ya CMSA na Taasisi ya Uwekezaji na Dhamana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

CMSA yazindua shindano la Masoko ya Mitaji kwa wanavyuo

Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipangowa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Shindano la insha na maswali kuhusu Masoko ya Mitaji kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam Julai 4, 2016.   Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Nasama Massinda akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Shindano la...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mpango wa Push for Change kuwasadia Wakulima katika upatikanaji wa habari za masoko na mitaji

Kongamano la siku tatu juu ya sera ya kilimo linalotarajia kufikia tamati leo Februari 25.2016 huku likiwa limeshirikisha wadau wa kilimo Zaidi ya 150, kutoka ndani ya nje ya Tanzania wametoa maoni yao mbalimbali namna ya kuboresha kilimo hapa nchini ilikufikia maendeleo makubwa.

Kongamano hilo lililokuwa na kauli mbiu: “Mabadiliko ya sekta ya kilimo na mchango wake katika kukuza usalama wa chakula na lishe, kupunguza umasini na kuleta ajira’ limefanyika jijini Dar es Salaam ambapo wadau hao...

 

1 year ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA NA KAHAMA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA UWEKEZAJI KATIKA MASOKO YA MITAJI

Siku za hivi karibuni, Serikali imetilia mkazo uwezeshaji wa watanzania kumiliki uchumi wao kwa kuyataka makampuni na mashirika kujiorodhesha katika Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE). Makampuni ya simu na mabenki ni miongoni mwa makampuni yaliyoshika kasi katika kujiorodhesha katika Soko la Hisa.Sambamba na hilo, elimu ya uwekezaji katika eneo hili imekuwa na msukumo mdogo tangu ulipoanza kwenye miaka ya 90. Hii inasemekana kuwa pengine ni uchanga na ugeni wa soko letu lakini pia elimu...

 

4 years ago

Vijimambo

WASAIDIZI WA KISHERIA KATIKA MASOKO MANISPAA YA ILALA, WAMALIZA MAFUNZO YA SIKU 25

Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo. Kutoka kulia ni Mwakilirishi kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Doris Gweba, Diwani wa Kata ya Mchikichini Mhe.Riyani na Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi.
Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi (katikati),...

 

2 years ago

Malunde

WANAWAKE VIONGOZI KATIKA MASOKO WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUTEMBELEA KATIKA MASOKO AONE MIUNDOMBINU ILIVYO


Ofisa Mradi wa 'Mpe Riziki Si Matusi' kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG), Suzan Sita (kulia), akitoa mada katika Warsha ya Siku tatu ya kuwajengea uwezo viongozi wa Umoja wa Wanawake Masokoni iliyohusu ukatili dhidi ya wanawake na haki zao iliyoandaliwa na shirika hilo inayoendelea katika Hoteli ya Lamada Ilala jijini Dar es Salaam jana.Viongozi hao wakiwa katika warsha hiyo.Warsha ikiendelea.Kulia ni Mwezeshaji Sheria kutoka Soko la Tabata Muslim, Irene Daniel.Taswira katika ukumbi...

 

2 years ago

CCM Blog

UNCDF YAZINDUA MPANGO WA KUNUFAISHA MAJIJI KUPITIA MASOKO YA MITAJI

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akifungua semina ya siku mbili ya fursa mpya ya kuongeza mapato ya halmashauri nchini kwa wakurugenzi wa majiji na manispaa iliyoandaliwa na shirika la maendeleo la UNCDF iliyofanyika jijini Arusha jana. Mratibu wa mfuko wa mitaji wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) Peter Malika akizungumza

 Mratibu wa mfuko wa mitaji wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) Peter Malika akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo na kusema,mpango huo wa kuwezesha halmashauri za majiji na...

 

3 years ago

Channelten

Namna na Kukuza Mitaji CRDB Mbeya yatoa semina kwa wanahisa.

 

crdb

BENKI ya CRDB mkoa wa Mbeya imetoa semina kwa wanahisa wa benki hiyo kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo,ili kuwapa elimu na kuwawawezesha wanahisa kujua umuhimu wa hisa na namna ya kukuza mitaji yao.

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Mbeya Benson Mwakyusa amesema haya wakati wa semina ya wanahisa wote Mkoani Mbeya ambayo imeandaliwa na Benki hiyo na kwamba , benki ya CRDB imejiwekea mpango mkakati wa kutoa elimu kwa wanahisa wake kabla ya kufanyika kwa mkutano Mkuu, kwa kuwa baadhi...

 

2 years ago

Michuzi

COSTECH YATOA MAFUNZO YA KILIMO CHENYE TIJA KWA WAKULIMA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Dk.Philbert Nyinondi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro (SUA), akiwaelezea wakulima hao umuhimu wa matumizi ya MB katika siku zao katika kuinua kilimo na utafutaji wa masoko katika maeneo mengine ya ndani na nje ya nchi.
Na Dotto Mwaibale, Lindi
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa mafunzo ya siku moja kwa wakulima wa Mkoa wa Lindi yenye lengo la kuwasaidia kulima kilimo chenye tija. Mafunzo...

 

1 year ago

Michuzi

TAASISI YA TACC YATOA MAFUNZO KWA VIJANA WAJASIRIAMALI WILAYANI KIABAHA YA KUWAJENGEA UWEZO KATIKA KUPAMBANA NA SOKO LA AJIRA

NA VICTOR MASANGU, KIBAHA .

VIJANA wajasiriamali zaidi ya 50 kutoka Wilayani Kibaha Mkoa Pwani wamepatiwa mafunzo kwa lengo la kuweza kujifunza stadi mbali mbali za maisha pamoja na namna ya kuweza kujiajiri wao wenyewe kupitia biashara ndogo ndogo wanazozifanya ili kuweza kupambana na wimbi la umasikini na  kujikwamua kiuchumi kwa lengo la kuweza kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo.
Mafunzo hayo ya vijana ambayo yanafanyika mjini Kibaha kwa muda wa siku 14 yameandaliwa na Taasisi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani