CONFIRMED: Picha 4 za mfano wa gari la kifahari Diamond Platnumz analotaka kulinunua mwaka 2016

R3

Mwimbaji kutoka kwenye muziki wa bongofleva Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview ya onAIRwithMillardAyo na kuzungumza vitu vingi sana kuhusu maisha yake na muziki wake ambapo moja ya maswali aliyoyajibu kwa kujiachia na akiwa ana tabasamu ni kuhusu kununua gari la ndoto yake. Platnumz alimwambia Millard Ayo >>> ‘Nataka nibadilishe aina ya gari sababu imekua […]

The post CONFIRMED: Picha 4 za mfano wa gari la kifahari Diamond Platnumz analotaka kulinunua mwaka 2016 appeared...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Pichaz za mastaa watano duniani wanaomiliki gari la kifahari analotaka kununua Diamond Platnumz 2016

2015-Rolls-Royce-Ghost-wheels

Siku zinazidi kusogea toka mwaka 2016 uingie, robo ya mwaka tumeshaimaliza ila February 1 2016 msanii Diamond Platnumz akiwa katika exclusive interview na Millard Ayo alithibitisha  kuwa mwaka 2016 atanunua gari la kifahari aina ya Rolls Royce. Kwa kawaida Rolls Royce thamani yake hufikia milioni  500 za kitanzania. Platnumz alimwambia Millard Ayo >>> ‘Nataka nibadilishe aina ya gari sababu […]

The post Pichaz za mastaa watano duniani wanaomiliki gari la kifahari analotaka kununua Diamond...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Hili ni gari la kifahari analomiliki Diamond SA?

Baada ya kumiliki mjengo mkali Afrika Kusini wenye thamani ya zaidi milioni 400, Diamond amewashtua mashabiki wake kwa ile inayowezekana kuwa ni ndinga yake nyingine anayoimiliki nchini humo alipoijenga Madale yake.

Muimbaji huyo ameweka picha za gari hilo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe ambao unaonyesha gari hilo ni mali yake.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika, “Jus decided to get this for my south africa’s up and downs trip…..👍 #SideChick.”

🏡🚗 @zarithebosslady kidogo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama  Diamond Platnumz kupitia instagram ameamua kuonesha gari lake jipya lakifahari ambalo atatumia katika shuhuli zake akiwa South Afrika.

diamondplatnumz

 

 

 

 

The post Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)

Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha) appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 5: Gari 5 za Luxury zitakazotoka mwaka 2016

243424

Najua na watu wangu wa nguvu ambao wao furaha yao siku zote ni kuendesha magari mazuri, mara nyingi hawapendi kukaa na magari, hupenda kubadilisha mara kwa mara, mtandao wa www.autotrader.com umetoa list ya magari 7 ya Luxury yanayotarajiwa kutoka 2016. 1- Acura NSX hii ni moja kati ya gari za kifahari zitakazotoka 2016 na gharama yake inatajwa […]

The post PICHA 5: Gari 5 za Luxury zitakazotoka mwaka 2016 appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA: Gari 5 za gharama duniani kwa mwaka 2016

4-8-million-koenigsegg-ccxr-trevita_001-720x480-c

Nafahamu nina watu wangu ambao wanapenda kununua magari mazuri na yenye thamani za juu, hivyo mtandao wa digitaltrend.com umetaja magari yenye thamani ambayo unaweza kuyanunua kwa mwaka 2016 na ukihitaji kununua magari ya aina hiyo ni lazima mkwanja mrefu ukutoke. 1- Koenigsegg CCXR Trevita 2- Lamborghini Veneno 3- W Motors Lykan Hypersport 4- Limited Edition […]

The post PICHA: Gari 5 za gharama duniani kwa mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

EXCLUSIVE VIDEO: Maswali Diamond Platnumz hataki kuulizwa kwenye vyombo vya habari mwaka 2016

D 1

Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive OnAiRwithMillardAyo na kuelezea ishu mbalimbali ikiwemo kuvisema vitu ambavyo hataki kuulizwa kwenye Interview yoyote ya MEDIA mwaka 2016, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]

The post EXCLUSIVE VIDEO: Maswali Diamond Platnumz hataki kuulizwa kwenye vyombo vya habari mwaka 2016 appeared...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Malaika awa msanii wa Bongo Flava anayemiliki gari la kifahari zaidi

12750307_233888573618255_1295477490_n

Huenda Malaika akawa ameichukua nafasi ya msanii wa Bongo Flava mwenye gari la kifahari zaidi.

12750307_233888573618255_1295477490_n

Kwasababu mkoko alioingiza muimbaji huyo, huendeshwa na wakurugenzi na wafanyabiashara wakubwa tu. Ameingiza mjini, Ranger Rover.

12724728_555417744632390_949788837_n

Muimbaji huyo wa sare hajataka kuongea maneno mengi zaidi ya kuweka picha ya gari hiyo nyeusi na kuandika: #chee !!!! mgeni kaingia !!!”

12818959_243976612604851_277148598_n

Muongozaji wa video, Hanscana, ameshare picha ya gari hilo kwenye Instagram na kuandika: sasa @malaika6tz huku ni kukomoana, hakika...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Cristiano Ronaldo akiwa na lile gari lake la kifahari,The Bugatti Veyron

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kabla ya kuanza kwa ligi ya La Liga ameanza kuonekana mtaani na lile gari lake la kifahari lenye thamani ya pound milioni 1.7. Gari hii ni Bugatti Veyron.

v3

Gari hii Ronaldo alijinunulia kama zawadi. Bugatti Veyron ni toleo la 16.4. Ni toleo lenye spidi kali kutoka 0-to-62 mph ndani ya sekunde 2.6.

v4

v6

v7

v8

v1

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani