Cork aitwa kuchezea timu ya taifa England

Kiungo wa kati wa Burnley Jack Cork ameitwa kujiunga na kikosi cha England kinachojiandaa kwa mechi za kirafiki dhidi ya Ujerumani na Brazil.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Rashford aitwa kikosi cha timu ya taifa ya England kitakacho shiriki fainali (Euro 2016)

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya England, Roy Hogdson ametangaza kikosi cha The Three Lion, kitakachoshiriki fainali za mataifa ya barani Ulaya (Euro 2016).

article-3592566-343BEF6000000578-975_964x341

Mshambuliaji kinda wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford nyota yake imezidi kunga’aa baada ya kutajwa katika kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki katika michuano ya Euro nchini Ufaransa mwaka huu.

Wachezaji wengine walioko katika kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki michuano ya Euro 2016

Goli kipa: Joe Hart (Manchester City),...

 

4 years ago

BBCSwahili

Kolo kuacha kuchezea Timu ya Taifa

Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa.

 

4 years ago

StarTV

Kolo kustaafu kuchezea timu ya Taifa.

Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mara baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Mataifa huru barani Afrika mwakani

Nyota huyo mwenye miaka 33- anayecheza klabu ya Liverpool ya Uingereza ameitumikia timu yake ya taifa mara 109.

Alikuwa mmoja wa wachezaji walikuwa kwenye kikosi kilichofuzu kucheza Michezo ya Kombe la Mataifa huru mwaka 2015 inayotarajiwa kufanyika kuanzia17 Januari mpaka 8 Februari huko Equatorial Guinea.

“Nina...

 

3 years ago

Dewji Blog

Messi atangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa na historia

Mshambuliaji wa Argentina na nahodha wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Lionel Messi ametangaza kustaafu kuichezea timu yake ya taifa.

Maamuzi hayo magumu kwa Messi yamekuja ikiwa ni muda mchache baada ya timu yake kushindwa kutwaa kombe la Copa America mbele ya Chile ambapo wamekubali kufungwa kwa mikwaju ya penati ya 4-2.

Akizungumza baada ya fainali hiyo Mesi amesema “Haimaanishi kwangu. Mimi na timu ya taifa nimemaliza”

“Nilikuwa na fainali nne, nilijaribu , lilikuwa ni jambo ambalo nilikuwa...

 

3 years ago

Bongo5

Hili ni jibu la Neymar baada ya Messi kutangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa

Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Neymar amefunguka juu ya maamuzi ya Lionel Messi kutangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa.

281D9A4600000578-3060793-image-a-29_1430309883032

Neymar amesema kuwa ni uamuzi mgumu sana aliofanya [Messi] kustaafu soka la kimataifa, lakini anatumai ana furaha.

Akiongea na gazeti la Marca la Hispania, Neymar amesema, “I respect his decisions, but football without Messi isn’t football, it’s hard to imagine it without him.”

“If you like football at all, then you can’t help but admire Messi and...

 

3 years ago

Bongo5

Kaseja aitwa timu ya taifa soka la Ufukweni

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Ufukweni, John Mwansasu amemuita Kipa wa Mbeya City ya Mbeya, Juma Kaseja Juma kuongeza nguvu kwenye kikosi chake kinachotajia kusafiri kwenda Abidjan kucheza na wapinzani wao Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.

am

Kaseja mwenyewe, amefurahia wito huo na wakati wowote anatajiwa kujiunga na kambi hiyo iliyopo kwenye Hosteli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),...

 

4 years ago

Vijimambo

ALBION SAIDO BERAHINO AITWA TIMU YA TAIFA UINGEREZA

Mshambuliaji wa West Bromwich Albion Saido Berahino mwenye asili ya Burundi ametajwa kwenye timu ya Taifa ya England.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anatarajiwa kuonekana kwenye orodha ya majina ya timu ya England katika mechi ya kimataifa ya kuwania kufuzu fainali za Euro mwaka 2016 kati England Slovenia mechi itakayopigwa Novemba 15 mwaka huu.

Berahino ambaye alizaliwa nchini Burundi tayari ameshatia wavuni magoli saba katika mechi 10 za ligi kuu ya England ambayo timu yake West...

 

3 years ago

Michuzi

Kipa Said Kipao wa JKT Ruvu aitwa timu ya Taifa

KOCHA  Mkuu wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, amefanya mabadiliko kwenye kikosi kinachotarajiwa kusafiri Jumatano Agosti 31, 2016 kwenda nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017) dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo, The Super Eagles.
Mabadiliko yaliyofanyika ni kwa kumchukua Kipa kinda wa JKT Ruvu, Said Kipao ambaye anachukua nafasi ya Deogratius Munishi ambaye amepatwa na mshibwa...

 

2 years ago

Bongo5

Jack Wilshere aitwa tena timu ya taifa ya Uingereza

Kocha wa muda wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate amemuita kiungo Jack Wilshere kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England ambacho baadae mwezi huu kitacheza michezo dhidi ya Scotland na Hispania.

3a25623300000578-3914268-image-a-14_1478544128389
Kocha wa muda wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate

3a26538700000578-3913082-image-a-33_1478526915266

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani