CRDB, yaendeleza juhudi zake za kutoa huduma bora kwa wateja wake wa miji ya Songea na Mbinga


Mawakala wa Benki ya CRDB maarufu kama Fahari Huduma Wakala mjini Songea, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya uborosheji wa huduma kwa wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB. Pichani Ofisa wa benki hiyo, Willy Kamwela, akifafanua jambo kuhusu mafunzo hayo.Mawakala wa benki ya CRDB maarufu kama Fahari Huduma Wakala mjini Songea, wakiwa katika mafunzo ya uborosheji wa huduma kwa wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB.Ofisa wa Benki ya CRDB, Tom Mwaisenye, akitoa mafunzo kwa Fahari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaendeleza juhudi zake za kutoa huduma bora kwa wateja, kwa kuendelea kuwajengea uwezo zaidi mawakala wake

Mawakala wa Benki ya CRDB maarufu kama Fahari Huduma Wakala mjini Songea, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya uborosheji wa huduma kwa wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB. Pichani Ofisa wa benki hiyo, Willy Kamwela, akifafanua jambo kuhusu mafunzo hayo.
Mawakala wa benki ya CRDB maarufu kama Fahari Huduma Wakala mjini Songea, wakiwa katika mafunzo ya uborosheji wa huduma kwa wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB.

Ofisa wa Benki ya CRDB, Tom Mwaisenye, akitoa mafunzo kwa Fahari ...

 

4 years ago

Michuzi

PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE


unnamedBalozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa  kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.

 

2 years ago

Dewji Blog

NMB yaendeleza Wiki ya Huduma kwa Wateja, sasa yajikita kutoa misaada kwa wahitaji

Licha ya kumalizika kwa Wiki ya Huduma kwa Wateja lakini Benki ya NMB imeamua kuendeleza wiki hiyo kwa kipindi cha mwezi mzima ambapo pamoja na kutoa huduma bora kwa wateja wao pia imepanga kujikita zaidia kutoa misaada kwa jamii iliyo na wahitaji.

Katika kutekeleza hilo wafanyakazi wa NMB nchi nzima wakishirikiana na Kitengo cha Miradi ya Kijamii cha benki hiyo watakuwa wakishirikiana kukusanya pesa kwa ajili ya kutoa msaada.

Jambo hilo litahusisha wafanyakazi kuchangishana pesa wao wenyewe...

 

1 year ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA TEGETA WASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI WATEJA WAKE.

 Keki ya wiki ya huduma kwa wateja ya benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam.Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini akimpa zawadi Mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, William Silawe ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka.katikati ni  Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi.  Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA KUTOA VIFAA TIBA KWA MANISPAA YA KONONDONI

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam na kukabidhi vifaa tiba kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande).
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika Dar es Salaam.
Baadhi ya Mameneja na Wakurugenzi wa Benki ya...

 

3 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA

 Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma  za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
 Wakufunzi wa Semina ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!

tigo-logo

[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.

Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

1 year ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking

Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Estherine Mtimba (kulia), akimsaidia kufungua akaunti pamoja na kumuunganisha na huduma ya SimBanking mteja mpya wa benki hiyo, Rehema Adam. Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Benjamin Banzi (wa pili kulia), akimuunganisha mteja, Christopher Mjata kwenye huduma ya SimBanking (huduma za benki ya CRDB kwa njia ya simu za mkononi) katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam. Mteja wa Benki ya CRDB, Khalid Hassan (kulia), akifungua akaunti katika gari la mauzo la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani