Croatia yaifunga Ugiriki mchezo wa mtoano kueleka Kombe la dunia

Timu ya taifa ya Croatia imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ugiriki katika mchezo wa mtoano wa mkondo wa kwanza wa kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

kombe la dunia laanza kwa brazil kuichapa croatia 3-1 katika mchezo unaolalamikiwa kuwa wenyeji wamebebwa na refa

Wenyeji Brazil  wameanza michuano ya Kombe la Dunia kwa ushindi finyu wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia usiku wa kuamkia leo  wa jijini Sao Paulo, na kuponea chupuchupu kutoka sare katoka mchezo ulioanza kwa mabingwa hao mara tano kujikuta nyuma kwa goli moja la kujifunga wenyewe mwanzoni mwa kipindi cha kwanza.  Nyota wa Brazil Neymar analalamikiwa kubebwa na refa Yuichi Nishimura kutoka Japana baada ya kuambulia kadi ya njano (badala ya nyekundu)  kwa kumpiga kwa makusudi kipepsi mlinzi...

 

4 years ago

GPL

KOMBE LA DUNIA 2014: NEYMAR, OSCAR WAICHINJA CROATIA

Neymar akishangilia bao lake la kwanza. Neymar akitupia bao la pili kwa mkwaju wa penalti. Marcelo (wa pili kulia) akijifunga…

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kufuzu kombe la dunia ulaya: Kosovo hoooi kwa Croatia, Italia chupuchupu kwa Wahispaniola

KOSOVO 0- 6 CROATIA: Croatia yaikaribisha Kosovo kwenye mashindano makubwa kwa kipigo cha mwana ukome.

74

Mshambuliaji wa Juventus, Mario Mandzukic akiifungia Croatia bao dakika ya 35 kukamilisha hat-trick yake katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji Kosovo usiku wa jana katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Loro Borici, mjini Shkoder baada ya awali kufunga dakika za sita (6) na 24.

Mabao mengine ya Croatia yalifungwa na Matej Mitrovic dakika ya 68, Ivan Perisic dakika ya 83...

 

11 months ago

BBCSwahili

Khune huenda akakosa mchezo wa kufuzu kombe la dunia

Kipa wa timu ya taifa ya Afrika kusini Itumeleng Khune atakosa michezo miwili muhimu ya kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la dunia dhidi ya Senegal.

 

4 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ivory Coast kuwakosa Bony, Kalou na Toure katika mchezo wao wa kufuzu kombe la dunia Urusi 2018

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Wilfred BonyMchezaji wa Ivory Coast, Wilfred Bony

Na Rabi Hume

Timu ya Taifa ya Ivory Coast itakosa huduma ya wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Liberia.

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Michael Dussuyer amewataja wachezaji hao kuwa ni Wilfred Bony, Solomon Kalou na Thomas Toure.

Kocha Dussuyer amesema tayari tayari ameita wachezaji wengine ambao watazipa nafasi zao ambao ni mshambuliaji Roger Assele na beki Arthur Baka ambao...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Taifa Jang’ombe yatinga fainali kombe la Mtoano

Timu ya Taifa ya Jang’ombe “Wakombozi wa Ng’ambo” jana imefanikiwa kuwa ndio timu ya kwanza msimu huu kutinga fainali katika Kombe la Mtoano baada ya kuifunga timu ya Chuoni bao 1-0 mchezo ulosukumwa saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Amaan.

Bao pekee la Taifa limefungwa na Hassan Seif “Banda” kwa penalty dakika ya  60 kufuatia mlinda mlango wa Chuoni Mudathir Ali kumfanyia mazambi Banda katika eneo la hatari.

Taifa wataisubiri Sailors au Villa United “Mpira pesa” atakaeshinda katika mchezo wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

UEFA EURO 2016:Croatia yailaza Hispania 2-1, mchezo wa kundi D

Dakika kadhaa zilizopita mtanange wa kundi D katika michuano ya kombe la UEFA Euro 2016 inayoendelea Nchini Ufaransa uliowakutanisha timu ya Taifa ya Croatia na Hispania,  mpaka dakika 90 za mchezo huo Croatia wameibuka na ushindi wa bao 2-1, dhidi ya Hispania.

Mchezo huo uliokuwa wa aina yake kwa pande zote mbili, ambapo hadi wanaenda mapumziko walikuwa tayari wameshafungana bao 1-1. Kipindi cha pili kilianza kwa kasi  na kiliichukua hadi dakika ya 87 ya mchezo huo kwa Croatia  kupata bao...

 

2 years ago

Michuzi

DROO YA MTOANO KOMBE LA SHIRIKISHO YAPANGWA, YANGA KUANZA NA WAARABUNa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
DROO ya hatua ya mtoano ya kuingia kwenye hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho imefanyika mchana wa leo na timu 32 kupangwa kwenye michezo hiyo.
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Yanga wameingia kwenye hatua hiyo baada ya kushindwa kuingia kwenye makundi ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika.
Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:
1)Yanga vs Mc Alger2)Enugu rangers vs Zesco3)Horoya Ac vs IR Tanger4)AsTanda vs Platinum star5)BYC vs Supersport...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani