CUF chadai kubaini mbinu chafu dhidi yake

Chama cha Wananchi  (Cuf), kimewaonya vijana waliopangwa kuvamia ofisi ya makao makuu ya chama Buguruni kutothubutu kufanya hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Chadema yabaini mbinu chafu

Pg 5NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua tuhuma mpya dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kikisema kimebaini shahada zaidi ya milioni mbili za kupigia kura zinazotarajiwa kuingizwa kinyemela katika Daftari la Wapiga Kura na  kugawiwa kwa wana CCM ambao hawakujiandikisha.

Chama hicho kimedai kwamba, mbali na shahada hizo pia wakimbizi zaidi ya 70,000 mkoani Kigoma wameandikishwa katika daftari hilo kwa ajili ya kupiga kura.

Tuhuma  hizo...

 

3 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa .

Viongozi wa Chadema/UKAWA kuweni Makini sana na huu mfumo wa BVR bao la mkono liko njiani kufanikiwa. Mkipuuza mtalia kilio ambacho hatapatikana mtu wa kuwafuta machozi. Vitambulisho fake ni vingi sana na hakuna mashine ya kuvitambua […]

The post Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa . appeared first on Mzalendo.net.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya kigeni inapotumia mbinu chafu kuidhalilisha serikali

BIASHARA ya utalii imekuwa na ushindani mkubwa si nje bali hata ndani ya nchi yetu. Ushindani wa kibiashara unadhihirishwa na jinsi ambavyo makampuni ya ndani na nje yanavyopigana vikumbo kutafuta njia na mbinu za kuwapiku washindani wao.

Hilo ni jambo la kawaida kabisa.

Hakika pale ambako hapana ushindani basi ni wazi pia kwamba hapatakuwapo na tija kwani mama wa biashara huria ni ushindani na hilo hakuna wa kubishana. Hata hivyo, kuna mvutano ambao umeanzishwa na kampuni ya Wengert...

 

3 years ago

Dewji Blog

BASATA yaonya wasanii dhidi ya lugha chafu, maadili wakati huu wa kampeni za kisiasa

_DSC3283

Katibu Mtendaji, Basata, Godfrey L. Mngereza.

Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.

Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi...

 

1 year ago

Bongo5

Guardiola ilitubidi kubadili mbinu dhidi ya Barcelona

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amekiri kuwa ilimlazimu abadili mbinu dhidi ya Barcelona katika mechi ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne usiku.

joseph-guardiola-manchester-city-barcelona-uefa-champions-league-01112016_1j1h7o927tipt1otkhcby85ykg

Guardiola awali alitamka kuwa ataendelea kung’ang’ania falsafa yake ya pasi nyingi kutokea nyuma, lakini mfumo wa kucheza moja kwa moja uliisaidia City kujipatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Barcelona.

Hata hivyo, Muhispania huyo alieleza kuwa mfumo huo wa uchezaji uliwawezesha kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kuzua mashambulizi ya...

 

1 year ago

Channelten

Marekani Haifikiri Ahadi Yake ya Kupunguza Uzalishaji Hewa Chafu

thumb

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, John Kerry amewaeleza wajumbe wanaoshiriki mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaofanyika mjini Marrakech, Morocco kuwa hafikirii ahadi ya serikali ya nchi hiyo ya kupunguza uzalishaji wa hewa chafu inaweza ikabadilika.

Kauli ya waziri huyo wa mambo ya nje wa Marekani inaonyesha kujibu kauli iliyotolewa na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump aliyesema suala la ongezeko la joto duniani ni kama mzaha na hakubaliani nalo na kutishia kuiondoa...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Albert Msando ajikosha baada ya video yake chafu na Gigy Money kusambaa

Mwanasheria maarufu Tanzania Albert Msando amewaomba radhi ndugu, jamaa pamoja na mashabiki kufuatia kusambaa kwa video yake chafu mtandaoni inayomuonyesha akishikana na video queen, Gigy Money.

Msando amesema kuwa akikaa kimya kwa kitendo hicho atakua mnafiki hivyo anawaomba radhi wote aliowakwaza na walio kereka na video hiyo ambayo alipokelewa vibaya na mashabiki wengi mtandaoni.

“Nikikaa kimya nitakua mnafiki. Nimekosea. Kilichotokea hakikupaswa kutokea. I will be a man enough and say...

 

1 year ago

Bongo5

Kajala akanusha binti yake kuharibikiwa kimaadili, ni baada ya video chafu inayodaiwa ya Paula kusambaa mtandaoni

Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari.

Kijala na binti yake Paula

Awali ilisemekana kuwa katika video hiyo binti aliyeonekana ni Paula Paul ambaye ni mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja hali ambayo ilimfanya muigizaji huyo kukanusha uvumi huyo.

Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika:

Hey everyone….jamani mimi sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema mimi kwa kitu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani