Dabi ya Simba na Yanga kupigwa kesho

Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena hapo kesho kwa jumla ya michezo sita kuchezwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Historia Leo: Kibaden na rekodi ya hat trick katika dabi ya Simba na Yanga.

Nikukumbushe historia za soka,

Leo Julai 19, 2017 ni miaka 40 ya moja katika rekodi ya ufungaji mabao ya mechi za watani wa jadi kwa lugha ya kileo dabi ya Simba na Yanga.

Jioni ya siku ile Julai 19, 1977, Simba iliifunga Yanga mabao sita kwa bila (6-0) huku Abdallah ‘king’ Kibaden akifunga hattrick (mabao matatu).

Siku hiyo, Kibadeni alitikisa nyavu za Yanga katika dakika za 10, 42 na 89, wakati mabao mengine ya Wekundu wa Msimbazi, yalitiwa kimiani na Jumanne Hassan ‘Masimenti’ dakika ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Dabi ya Tanzania hapatoshi kesho Kenya

Ndugu wa wawili wa Tanzania kesho Alhamis watakutana katika Soka kwenye Mashindano ya kuwania ubingwa wa Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP), kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar “Zanzibar Heroes” dhidi ya Tanzania bara “Kilimajanjaro Stars” mchezo utakaopigwa majira ya saa 8:00 za mchana katika Uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya.

Huu ni mchezo wa pili kwa kila timu kufuatia Heroes jana kushinda mabao 3-1 dhidi ya Rwanda wakati...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga kupigwa Jijini Dallas, Texas Aprili 30

Wanandugu wawili Nicodemus Njohole na Renatus Njohole ambao kwenye nyakati tofauti waliwahi kuchezea timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, wamethibitisha kuichezea timu ya Simba ughaibuni kwenye mpambano wa watani wa jadi utakaofanyika siku ya Jumamosi April 30, 2016 jijini Dallas, Texas nchini Marekani.

Hii itakua ni mara ya tatu kwa mpambano huu wa Simba na Yanga kuchezwa nje ya DC. Kama ilivyozoeleka watani hawa wa jadi mara nyingi mechi zao hufanyikia Washington, DC, na mara zote Yanga...

 

2 years ago

Habarileo

Simba leo, Yanga kesho

MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara unafikia tamati leo na kesho.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Simba kukutana na Yanga kesho

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha.

Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo huo wa hatua ya nusu fainali itakayoanza majira ya saa 9 kamili mchana.

Kakamega walifuzu kufika fainali baada ya kuifunga Yanga katika ufunguzi wa pazia la mashindano hayo kwa jumla ya mabao 3-1.

Wakati huo Simba...

 

4 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA KUKIPIGA DUBAI KESHO

kesho jumatatu katika jiji la Dubai kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Wapenzi na washabiki wa timu za Simba na Yanga katika mpambano wa kunogesha bonanza la nyama choma kwenya uwanja wa Al Ahli Stadium saa nne usiku. Utakuwa ni mpambano wa kukata ma shoka kila timu ikijigamba kuondoka na ushindi..... mtoto hatumwi dukani hapo

 

2 years ago

Mtanzania

SIMBA, YANGA KUUMANA VIKALI KESHO

*Ni nusu fainali Kombe la Mapinduzi

simba-na-yangaNa MWANDISHI WETU-ZANZIBAR

VIGOGO wa soka nchini Simba na Yanga, kesho wataumana vikali katika pambano la kukata na shoka kwenye hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kumalizika Januari 12, mwaka huu.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar baada ya Simba kufanikiwa kuongoza Kundi B kwa kufikisha pointi 10 kutokana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana dhidi ya Jang’ombe...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mfaume kuzihukumu Yanga na Simba kesho

Nusu fainali za kombe la Mapinduzi zitasukumwa kesho katika Uwanja wa Amaan ambapo kamati ya Waamuzi tayari imeshawaweka hadharani Waamuzi watakaosimamia sheria 17 za soka katika michezo hiyo.

 

Nusu fainali ya kwanza itakayopigwa majira ya saa 10:15 za jioni kati ya Azam na Taifa ya Jang’ombe itachezeshwa na Muamuzi wa kati Mohammed Kassim “Edi” akisaidiwa na washika vibendera Nassor Salum Mohd (Line 1), Mustafa Khamis Hasira (Line 2), huku Muamuzi wa akiba akiwa ni Shehe Suleiman Humud na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani