Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCMMoja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

MGOMBE URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASSA KUCHUKUA FOMU TAREHE 10/08/2015

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Makutano yataanza Makao makuu ya CUF Ilala saa 3 asubuhi kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kumalizia Makao Makuu ya CHADEMA kinondoni.Akiongea na waandishi wa habari kwa kuwawakilisha makatibu wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA (katikati)...

 

4 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa

Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015

Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu

Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...

 

4 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Edward Lowassa: Mbunge wa Monduli

>Edward Lowassa alizaliwa Agosti 26, 1953 katika Kijiji cha Ngarash, Monduli na ndiye mtoto mkubwa wa kiume kwa Mzee Ngoyai Lowassa (atafikisha miaka 62 Agosti mwaka huu). Alianza kusoma katika Shule ya Msingi Monduli kati ya mwaka 1961–1967.

 

5 years ago

Mwananchi

CCM yamtolea uvivu Lowassa urais 2015

>Unaweza kusema sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kumfungia kazi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada ya jana Makamu Mwenyekiti wake (Bara), Phillip Mangula kusema kuwa wanachama wake walioanza mbio za kuwania urais mwaka 2015 watachukuliwa hatua kali za kinidhamu

 

4 years ago

Dewji Blog

Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama

Lowassa_Ilala

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).

Kingunge udhamini

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...

 

4 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWENYE CHAMA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA.

unnamed (4)Katibu wa CCM Mkoa Mjini Mohammed Omar Nyawenga akitoa taarifa ya Chama hicho kwa Waandishi wa Habari kuhusu kujitoa ndani ya Chama Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa katika mkutano uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.unnamed (5)Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Borafia Silima akitoa ufafanuzi katika mkutano uliohudhuriwa na wajumbe wa ngazi mbali mbali za Chama na waandishi wa Habari Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
unnamed (6)Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo...

 

4 years ago

Vijimambo

EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha , wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Picha na Othman Michuzi Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani