Dalili tano za mwanamke/mwanaume anayechepuka

Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamefanya uchunguzi na kutaja dalili za mume au mke anayesaliti ikiwamo usiri katika matumizi ya simu yake na kubadili nywila (password) mara kwa mara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

GPL

KAULI HIZI NI DALILI YA MWANAUME KAKUCHOKA, CHUKUA HATUA!

Leo mpenzi msomaji wa safu hii, nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanandoa na wapenzi walioko kwenye uhusiano kwa muda mrefu kwani wengi hujikuta wameachwa na kuona kuwa ni ghafla kumbe hawakutambua kwa kujua ni utani. Kauli anazozitoa mwanaume wako ni wazi kabisa kuwa amekuchoka wengi hawazitambui sasa zisome kwa makini na uzielewe.Tukiachana sisi† si wa kwanza
Kauli kama hii mwanaume hawezi kukuambia mkiwa...

 

5 years ago

Bongo5

Dalili tano zinazoonyesha ulichagua taaluma isiyokufaa!

Umesikia watu wakisema “wanajifunza kutakana na makosa” ni kweli kwamba kila ufahamu tunaoupata unatokana na makosa tuliyokwisha kufanya wakati fulani. Lakini utasema nini pale ambapo unafanya taaluma ambayo umekosea? Je unafikiri utapata muda wa kujifunza kutakana na kosa hilo? Inawezekana hilo ni kosa litakalogharimu maisha yako kwa kiasi kikubwa. Amini usiamini unaweza kubadilisha kazi mara […]

 

4 years ago

Vijimambo

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa


Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.
Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana.
Zifuatazo hapa chini...

 

4 years ago

Vijimambo

DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!


Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
3 : Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
4 : Anaahilisha mara kwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Wataalamu wazitaja dalili tano za wanandoa wanaotoka nje ya ndoa

Ndoa inatajwa kuwa ni elimu pekee ambayo mtu anapata cheti kabla ya kuingia darasani.

 

4 years ago

GPL

SIFA TANO ZA MWANAUME ANAYEKUTAMANI

NI Jumanne tena! Naamini wasomaji wangu wote mpo sawasawa na tayari kupokea mada mpya ya wiki hii. Habari kubwa ya kitaifa kwa sasa ni siasa, kampeni za wagombea na vishawishi vyao. Lakini najua bado hamkosi elimu ya mapenzi na maisha. Leo nataka kuwasaidia baadhi ya wanawake, hasa wasichana ambao wamejikuta wakiwa kwenye uhusiano usiodumu kwa sababu ya kuwapata wanaume wanaowatamani halafu wao kwa kutokujua, wakaamini...

 

4 years ago

Michuzi

JE NI WAJIBU MWANAMKE KUMTUNZA MWANAUME KISHERIA?.

Na  Bashir  Yakub.Kisheria  ndoa inapokuwa  imefungwa   kuna  haki  za  msingi  ambazo  huibuka.  Hizi  huitwa  haki  za  moja  kwa  moja  ( automatic  right). Huitwa  haki  za  moja  kwa  moja   kwakuwa   hazina  uhiari  katika  kutekelezwa  kwake.  Kuwapo  kwa  ndoa  ndio  kuwapo  kwake  na  hivyo  haihitaji  mtu  kuziomba. Kimsingi  haki  hizi  zipo  nyingi  ambapo  tutaona  baadhi  yake hapa   huku  makala  yakijikita  katika   haki  moja ya  matunzo  kwa  wanandoa.


1.BAADHI  YA  HAKI ...

 

4 years ago

GPL

NANI ANASTAHILI KUHONGWA, MWANAUME AU MWANAMKE?

NAMSHUKURU sana Mungu kwa kuweza kunikutanisha na wewe rafiki wa safu hii. Nafurahi kupata meseji zenu ambazo zinaonesha jinsi gani mliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa na ujumbe wenye tafsiri ya kujiongeza pale unapoona umpendaye hapokei simu, hajibu meseji, mapenzi yamepungua.
Nilishauri kama ukiona mpenzi wako ana sifa hizo, ujiongeze haraka na kuchukua hatua. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na mtu ambaye tayari hana...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Dk. Nagu: Mwanamke anahitaji jitihada za mwanaume

IMEELEZWA kuwa harakati za kumkomboa mwanamke katika suala la kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, sio lake peke yake bali zinahitajika jitihada za wanaume pia. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani