Dalili tano zinazoonyesha ulichagua taaluma isiyokufaa!

Umesikia watu wakisema “wanajifunza kutakana na makosa” ni kweli kwamba kila ufahamu tunaoupata unatokana na makosa tuliyokwisha kufanya wakati fulani. Lakini utasema nini pale ambapo unafanya taaluma ambayo umekosea? Je unafikiri utapata muda wa kujifunza kutakana na kosa hilo? Inawezekana hilo ni kosa litakalogharimu maisha yako kwa kiasi kikubwa. Amini usiamini unaweza kubadilisha kazi mara […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Dalili tano za mwanamke/mwanaume anayechepuka

Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamefanya uchunguzi na kutaja dalili za mume au mke anayesaliti ikiwamo usiri katika matumizi ya simu yake na kubadili nywila (password) mara kwa mara.

 

2 years ago

Mwananchi

Wataalamu wazitaja dalili tano za wanandoa wanaotoka nje ya ndoa

Ndoa inatajwa kuwa ni elimu pekee ambayo mtu anapata cheti kabla ya kuingia darasani.

 

5 years ago

Mwananchi

‘Mamlaka ziboreshe taaluma ya mawasiliano’

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa ametoa wito kwa mamlaka za sekta hiyo kujiendeleza kielimu ili kwenda sambamba na mahitaji ya soko la dunia.

 

3 years ago

Habarileo

Nape asifia taaluma TSN

KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited imepongezwa kwa hatua ya kuzingatia weledi na kiwango cha juu cha taaluma wakati wa uchapishaji wa habari.

 

3 years ago

Raia Mwema

Tunapodhalilisha elimu na taaluma zetu

SIKU ni Jumapili. Mahali ni kituo kimoja kikubwa cha runinga nchini. Mjadala wa watu sita, watangazaji wawili na wageni wao wanne, ukiendeshwa katika studio mbili tofauti, ya Mwanza na ya Dar es Salaam.

Mjadala unaendelea kwa kupokezana, Dar, Mwanza, Dar.. Navutiwa na kuanza kuufuatilia. Na ndipo hapo nagundua mjadala huu ni tofauti na mingine ya kisiasa niliyozoea kuiona katika vituo vya televisheni. 

Watu wote walioko studio zote mbili,  kasoro mmoja tu Kamala Kusupa, walikuwa  ni...

 

2 years ago

Mwananchi

TAALUMA, UTAALAMU UNATAKIWA NYUMBANI

Toka mkondo wa demokrasia ulipogonga hodi Afrika (hususan Tanzania), ubunifu na milango imefunguka. Maskini na matajiri wameongezeka. Soko huria limezua changamoto. Miongoni mwa visonga mbele ni habari na mawasiliano au Kiingereza “media.” Juzi niliongea na mmoja wataalamu wetu Uingereza, Sam Wetengere Kitojo, aliyemaliza masomo ya Uzamili sasa mkazi. Mbali na “kupiga boksi” ( msemo unaohusu kazi za kuajiriwa kupata kula) kuikidhi familia yake, Kitojo anajishughulisha na utengenezaji...

 

2 weeks ago

CCM Blog

MARUFUKU KUINGILIA TAALUMA ZA MADAKTARI

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amepiga marufuku wanasiasa kuingilia fani za taaluma za madaktari, wakunga na wauguzi nchini.

Ummy ameyasema hayo bungeni wakati akihitimisha hotuba ya bajeti ya wizara yake, ambapo amesema kama daktari, muuguzi au mkunga amekosea wapelekwe kwenye mabaraza yao ambayo ndiyo yanashughulikia suala la nidhamu kwa kada hiyo ya wstumishi.

“Kutokana na hali halisi ilivyo, muuguzi mmoja anafanya kazi ambayo ingefanywa na wauguzi...

 

5 years ago

GPL

DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI

Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. Saratani hii siyo kubwa sana hivyo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani