Dalili za Mimba Kuharibika

Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mama mjamzito mimba yake kuharibika. Sababu kuu huwa ni magonjwa kama vile ugonjwa hatari wa malaria, ugonjwa unaotokana na zinaa kama vile kaswende na kisonono na U.T.I, dawa fulani fulani mfano Albendazole, Misoprostol, Metronidazole na kadhalika.
Lakini pia mjamzito akifanya kazi za kutumia nguvu nyingi anaweza kusababisha mimba yake kuharibika. Lakini kuna sababu nyingi ambazo zinasababisha mimba kutoka huweza kuzuilika kwa kwenda kliniki mapema...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Mimba Yenye Hatari Ya Kuharibika

pregnant-black-womanMwandishi: Dk. A. Mandai

WIKI iliyopita nilieleza tatizo la mimba kutoka mara kwa mara na nikaahidi leo kuelezea mimba zenye hatari ya kuharibika.

Mimba yenye hatari ya kuharibika ni hali inayojitokeza kwa mjamzito kutoka damu ukeni wakati wa wiki za mwanzo za ujauzito mpaka wiki ya 20.

Hali hii huashiria dalili ya mimba kutaka kuharibika au kutoka, ingawa ujauzito unaweza kuendelea mpaka kujifungua na kitaalam huitwa

Threatened Abortion. Asilimia 20 mpaka 30 ya wajawazito hutokwa na damu...

 

4 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA KWA MIMBA (MISCARRIAGE)

Leo tumeamua kuzungumzia jambo hili ambalo huwakumba watu wengi sana katika familia zao, wengi wamekuwa wakitokewa na jambo hili katika mimba zao za kwanza na mimba zao zinazoendelea katika familia zao na kushindwa kupata watoto. Kuna wengine wanapata watoto au mtoto mmoja na baadaye wanashindwa kupata mtoto kwa sababu ya mimba zao kuwa zinaharibika mara kwa mara. Kwa kawaida kitabibu inaaminika kwamba asilimia 50 ya mimba zote...

 

2 years ago

Global Publishers

Fahamu Dalili za Mimba Kuaharibika

Na MTAALAMU A. MANDAI| IJUMAA WIKIENDA| AFYA

KUNA sababu nyingi zinazoweza kusababisha mama mjamzito mimba yake kuharibika. Sababu kuu huwa ni magonjwa kama vile ugonjwa hatari wa malaria, ugonjwa unaotokana na zinaa kama vile kaswende na kisonono na U.T.I, dawa fulani fulani mfano Albendazole, Misoprostol, Metronidazole na kadhalika.

Lakini pia mjamzito akifanya kazi za kutumia nguvu nyingi anaweza kusababisha mimba yake kuharibika. Lakini kuna sababu nyingi ambazo zinasababisha mimba...

 

5 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA MIMBA MARA KWA MARA!

Tatizo la kuharibika mimba mara kwa mara kitaalamu huitwa ‘Recurrent pregnancy loss’. Mwanamke hujitahidi kutafuta ujauzito lakini inakuwa ngumu ujauzito kukua hadi kufikia kujifungua.
Hali hii huleta athari kubwa kwa mwanamke pamoja na kuathirika kiafya kutokana na mimba kuharibika mara kwa mara lakini pia huathirika kisaikolojia kwa kutopata watoto. Ni mojawapo ya tatizo linalochangia ugumba katika jamii. Kipindi cha...

 

4 years ago

GPL

TATIZO LA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO-2

WIKI iliyopita tuliishia kwa kusema kuwa, kipindi cha ujauzito pia hugawanywa katika vipindi vitatu vilivyo sawa miezi mitatumitatu ambavyo kitaalamu huitwa ‘Trimesters’. Kigezo kinachotumika kugawa vipindi hivi ni matukio yanayofanyika katika muda husika.
Kipindi cha uumbaji
Kipindi hiki huanza tangu mimba kutungwa mpaka miezi mitatu ya awali. Katika kipindi hiki ndipo viungo vya mtoto vinapoumbwa na kukamilika. Mimba...

 

5 years ago

GPL

STENDI YA MAKUMBUSHO YAANZA KUHARIBIKA

Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo  kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo.…

 

3 years ago

Michuzi

UTOAJI MIMBA NA VIDHIBITI MIMBA NI ATHARI KWA WANAWAKE KUPOTEZA MAISHA

Picha na habari na Emmanuel MasakaTaasisi ya Kutetea uhai (Pro Life) imesema kuwa utoaji mimba na vidhibiti mimba una athari kwa wanawake kupoteza maisha kutokana na kufanya hivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Rais wa Taasisi hiyo, Padre Shenan Boquet amesema kuwa watu wamepandikizwa vitu vibaya juu ya uzazi kuendelea kujengwa vizazi na vizazi.

Amesema kutoa mimba na kuweka vidhibiti kunahitajika kuwepo kwa elimu katika kuibadilisha jamii kutoondokana vitu hivyo vya...

 

3 years ago

Bongo5

Flora Mvungi alidanganya kuwa ana mimba au mimba iliyeyuka?

Baada ya H.Baba na mke wake Flora Mvungi kuweka wazi mapema mwaka huu kwamba wanatarajia kupata mtoto watatu, hivi karibuni Frola Mvungi ameonekana katika picha hana ujauzito hali ambayo imewafanya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii kuhoji ilikuwaje.
Frola-Mvungi-akiwa-hospitali
Frola Mvungi akiwa hospitali mapema mwaka huu

Frebuari 8 mwaka huu, H.Baba ambaye ni baba wa watoto wawili, Tanzanite na Africa, alishare picha (hapo juu) katika mitandao ya kijamii zenye ujumbe kuhusu ugeni huo.

“Asante mungu kwa kila...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani