Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa


Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.
Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana.
Zifuatazo hapa chini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Wataalamu wazitaja dalili tano za wanandoa wanaotoka nje ya ndoa

Ndoa inatajwa kuwa ni elimu pekee ambayo mtu anapata cheti kabla ya kuingia darasani.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwamuzi mwanamke Olimpiki Rio anayetoka Malawi

Bernadettar Kwimbira ni mwamuzi mashuhuri wa kike kutoka Malawi na yupo Rio akisimamia Michezo ya Olimpiki Rio.

 

4 years ago

Dewji Blog

Mwanamke wa Kizambia achepuka nje ya ndoa na kuzaa mtoto wa kichina

cheating-wife-e1430375258832

Wonders they say shall never end. A married woman from Kitwe, Bulangililo in Zambia displayed another strange act by cheating on her husband. The act eventually leads to the birth of a baby with Asian look and characteristics. Some neighbors of the couple in question suspects that Eunice Kalyolyo, 22, the wife of Chewe Kalyolyo, a bus driver, 26 years, might have stolen the baby. Kopalatimes insists she gave birth to the Chinese baby following the pregnancy from her Chinese former...

 

4 years ago

Vijimambo

DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!


Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
3 : Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
4 : Anaahilisha mara kwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Dalili tano za mwanamke/mwanaume anayechepuka

Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamefanya uchunguzi na kutaja dalili za mume au mke anayesaliti ikiwamo usiri katika matumizi ya simu yake na kubadili nywila (password) mara kwa mara.

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwepo  na utata  mkubwa  kuhusu  urithi  wa  mali  za  marehemu  hasa  inapotokea  kuwa  marehemu  alikuwa  na  mke   zaidi  ya mmoja  na  hapohapo  watoto  wanaotokana  na  mama  tofauti.  Tumeshashuhudia  magomvi  makubwa  misibani   lakini  pia  tumeshuhudia  na  tunaendelea kushuhudia  utitiri  wa mashauri  kuhusu  mkanganyiko  wa  mali za marehemu ambaye  familia  yake  ni  ya watoto  wanatokana  na  mama  tofauti. Kutokana  na  hayo  kuna umuhimu  mkubwa  wa...

 

2 years ago

Malunde

EMMANUEL MBASHA AELEZA JINSI FLORA MBASHA ALIVYOSALITI NDOA NA KUZAA NJE YA NDOA

Muimbaji wa nyimbo za injili madam Flora (Zamani Flora Mbasha) amekiri kupata mtoto nje ya ndoa yake na aliyekuwa mume wake Emmanuel Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za injili. Imefahamika.

Hilo limefichuliwa leo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha, alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV .

Ishu hiyo imeibuka baada ya mmoja kati ya watu waliouliza maswali, kumtaka Mbasha kunyoosha maelezo kuhusu mtoto wa pili wa Flora kama ni wake ama...

 

5 years ago

GPL

MWANAMKE ANATAFUTWA NDOA INATENGENEZWA

JAMANI mu hali gani, najua mko poa, yangu haliĀ  bulibuli, nami ni miongoni mwa watu waliopendelewa na Mwenyezi Mungu kuendelea kuvuta pumzi yake huku nikitabasamu na kuonesha meno yangu mawili ya dhahabu. Wenye kisokolo kwinyu utawasikia ninajishaua, jamani ungelionaje jino langu la dhahabu bila kutabasamu? Ungekuwa utunda hapo ungesema kwa vile umefichwa na nguo zaidi ya tatu na anayetakiwa kuuona ni laazizi wako, japo siku...

 

11 months ago

Malunde

MWANAMKE ACHAGUA NG'OMBE BADALA YA NDOA

Related imageMKAZI wa Jimbo Tamil Nadu nchini India, Selvarani Kanagarasu, amekataa kuolewa ili awe na muda wa kumiliki ng’ombe anayeshiriki michezo ya mapigano ya mafahali.
Kanagarasu (48) alikuwa kijana wakati alipoamua kufuata nyayo za baba na babu yake ambao walifuga ng’ombe wa kiume walioshindana katika michezo ya mafahali maarufu kama Jallikatu.Jallikatu ni mchezo maarufu kwa karne kadhaa katika jimbo hilo la kusini mwa India na huchezwa wakati wa msimu wa mavuno ufahamikao kama Pongal kila...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani