DARAJA LA FURAHISHA MWANZA LAKAMILIKA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu lililopo eneo la Furahisha na barabara ya kutoka Furahisha hadi Pasiansi yenye urefu wa KM 2.7, imekamilka kwa asilimia 99 Mkoani Mwanza.

Prof. Mbarawa amesema hayo wakati alipokuwa akikagua maendeleo ya ujezi wa daraja hilo katika ziara yake ya kikazi mkoani humo na kuridhishwa na ukamilishwaji wa ujenzi wake. “Daraja hili litaondoa changamoto kwa wananchi wanaotembea kwa miguu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

PICHA 8: Ulipofikia ujenzi wa Daraja la Furahisha, Mwanza

Kila siku Jiji la Mwanza linakuwa kwenye muonekano mpya kuanzia kwenye majengo, barabara mpaka kwenye madaraja ambapo ukiachana na daraja la Mabatini, kuna Daraja jipya ambalo linaendelea kujengwa eneo la Furahisha. Ni daraja mbalo kwa chini linaruhusu magari kupita pamoja na pikipiki na juu ya daraja hili wanatumia watembea kwa miguu. Ujenzi wa daraja hili umefikia katika hatua […]

The post PICHA 8: Ulipofikia ujenzi wa Daraja la Furahisha, Mwanza appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Picha14: Ujenzi wa Daraja la Furahisha Mwanza umefikia hapa

img_5693

Kila siku Jiji la Mwanza linakuwa kwenye muonekano mpya ukianzia majengo, barabara mpaka kwenye madaraja ukiachana na daraja la Mabatini Mwanza kuna Daraja jipya linajengwa eneo la Furahisha Mwanza ambalo kwa chini litarusuhu kupita magari pamoja na watembea kwa miguu kwa upande wa juu, ujenzi bado unaendelea na umefikia hatua nzuri, kazi yangu ni kukusogeza […]

The post Picha14: Ujenzi wa Daraja la Furahisha Mwanza umefikia hapa appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Malunde

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA

 Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi kuashiria...

 

3 years ago

Michuzi

TASWIRA YA DARAJA LA WATEMBEA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA, LITAKAVYOKUWA BAADA YA KUKAMILIKA

Baada ya Serikali kukamilisha Ujenzi wa Darala la juu la Watembea kwa Miguu katika Eneo la Mabatini Jijini Mwanza na kupunguza wingi wa ajali pamoja na msongamano wa magari katika eneo hilo, Sasa juhudi zimehamia katika eneo la Furahisha Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza ambapo pia linajengwa Daraja la juu la Watembea kwa Miguu ili kukabiliana na foleni katika eneo hilo ambalo limejengwa pia Kitega Uchumi cha Kisasa cha Rock City Mall ambayo ni Mall (Soko) Kubwa katika ukanda wa Afrika...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe...

 

1 year ago

Malunde

Picha : RAIS MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA WA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA PAMOJA NA UPANUZI WA BARABARA YA MWANZA AIRPORT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katikati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu la Furahisha pamoja na upanuzi wa barabara ya Mwanza-airport.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, Mbunge wa Sumve Richard Ndassa wakipiga makofi mara baada ya...

 

2 years ago

Michuzi

DARAJA LA MTO KALAMBO LAKAMILIKA

Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini TANROADS mkoa wa Rukwa imekamilisha ahadi yake kwa wananchi ya kuwapunguzia changamoto ya usafirishaji wa abiria na mzigio kwa kukamilisha ujenzi wa Daraja la mto Kalambo pamoja na barabara ya Sumbawanga Matai hadi Kasanga port (112km) ambapo Kilomita 71.4 zimeshawekwa lami.
Akizungumza mara baada ya kukagua daraja na barabara hiyo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani amesema kukamilika kwa barabara hiyo kutafungua fursa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani