Daraja la Kigamboni kufanyiwa majaribio leo 16 Aprili, Wananchi kulitumia kuvuka

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake Jumamosi ya leo ya 16 Aprili  wamepewa fursa ya  kulitumia kwa mara ya kwanza Daraja la Kigamboni  (Pichani) linalotarijiwa kufunguliwa rasmi na Rais John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Meneja mradi wa  kampuni ya China Railway Construction Engineering Group ambao wametekeleza mradi huo kwa ushirikiano na kampuni ya China Railway Major Bridge Group Bw.Zhang Bangxu,  wameelza kuwa  siku ya leo wataruhusu wakazi hao...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

3 years ago

Michuzi

DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI APRILI.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema daraja la Kigamboni litafunguliwa rasmi Aprili, 16 mwaka huu.Amesema kazi inayoendelea sasa hivi ni kupitisha magari maalum kwa ajili ya kupima ubora wa daraja hilo ili kujiridhisha kabla ya kukabidhiwa rasmi Serikalini.Amewataka watumiaji wa daraja hilo kuwa waangalifu, kulinda miundombinu na kuepuka vitendo vya hujuma  ili lidumu kwa muda mrefu.“Daraja hili lina urefu wa mita 640, barabara sita, tatu zinapanda na...

 

3 years ago

Channelten

Kukamilika Daraja la Kigamboni, Wananchi Vijibweni Kigamboni wafurahishwa

daraja

Wananchi wa VIJIBWENI KIGAMBONI jijini DAR ES SALAAM,wamefurahishwa na kukamilika kwa daraja linalounganisha kitongoji hicho na maeneo mengine mkoani Dar es salaam na kueleza kuwa ni ukombozi mkubwa kwao kutokana na kuwaletea unafuu mkubwa wa nauli kwa watu wa kipato cha chini.

Furaha hiyo waliitoa leo walipohojiwa na CHANNEL TEN wakati waandishi wa kituo hicho walipofika katika daraja hilo kuona mwitikio wa wananchi walipoelezwa kupitia taarifa ya serikali kuwa, daraja hilo kwa siku ya leo...

 

3 years ago

Michuzi

DARAJA LA KIGAMBONI SASA KUFUNGULIWA RASMI APRILI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema daraja la Kigamboni litafunguliwa rasmi Aprili, 16 mwaka huu. Amesema kazi inayoendelea sasa hivi ni kupitisha magari maalum kwa ajili ya kupima ubora wa daraja hilo ili kujiridhisha kabla ya kukabidhiwa rasmi Serikalini.
Amewataka watumiaji wa daraja hilo kuwa waangalifu, kulinda miundombinu na kuepuka vitendo vya hujuma ili lidumu kwa muda mrefu. “Daraja hili lina urefu wa mita 640, barabara sita, tatu zinapanda na...

 

3 years ago

Michuzi

DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI JUMANNE APRILI 19, 2016


Viongozi Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John Magufuli Jumanne tarehe 19.4.2016. Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Karim Mataka akiwa katika eneo la daraja la Kigamboni mara baada ya kufunguliwa kwaajili ya kupita magari na waenda...

 

3 years ago

Michuzi

MABADILIKO YA MUDA WA MATUMIZI YA DARAJA LA KIGAMBONI SIKU YA JUMANNE TAREHE 19 APRILI 2016

 Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya ufunguzi wa Daraja la Kigamboni kesho, Jumanne tarehe 19 Aprili, 2016.
Kutokana na ufunguzi huo, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inawataarifu watumiaji barabara na Wananchi wote wanaotumia daraja hilo kuwa huduma ya magari kutumia daraja hilo itafungwa kwa muda kuanzia saa 1:00 asubuhi...

 

3 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA WADAU WALIOSHUHUDIA UZINDUZI WA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI JANA APRILI 19, 2016


 Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Kamishna wa Uhamiaji George Goda alipowasili Kigamboni na mkewe mama Janeth Magufuli kuzindua daraja la Nyerere na Jumanne Aprili 19, 2016 Wadau kutoka sehemu mbali mbali wakishuhudia siku hii ya kihistoria Viongozi wa taasisi mbalimbali pamoja na wananchiRais John Pombe Joseph Magufuliakichukua mkasi kukata utepe  kuzindua daraja la Nyerere huko Kigamboni Jumanne Aprili 19, 2016.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

2 years ago

BBCSwahili

Manowari ya Uingereza kuanza kufanyiwa majaribio leo

HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwai kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza iliwa na uwanja wa ndege wenye ukubwa wa viwanja vitatu vya soka.

 

3 years ago

Channelten

Somangila Kigamboni, Wananchi Walalamikia Daraja Dhaifu

Daraja bovu mwagia lami juu

Wakazi mtaa wa Malimbika Kata ya Somangila Kigamboni jijini Dar es salaam wameilalamikia halmashauri ya wilaya ya Temeke kwa kuwajengea daraja lililo chini ya kiwango ambalo limekuwa halipitiki katika vipindi vya mvua ambapo maji hujaa na kufunika daraja hilo, hali inayokata mawasiliano ya pande mbili.

Wakizungumza na vyombo ya habari, wakazi hao wamebainisha kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakihatarisha maisha yao kutokana na daraja hilo dhaifu ambalo katika kipindi hiki cha mvua uhatarisha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani