DARAJA LA MTO KALAMBO LAKAMILIKA

Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini TANROADS mkoa wa Rukwa imekamilisha ahadi yake kwa wananchi ya kuwapunguzia changamoto ya usafirishaji wa abiria na mzigio kwa kukamilisha ujenzi wa Daraja la mto Kalambo pamoja na barabara ya Sumbawanga Matai hadi Kasanga port (112km) ambapo Kilomita 71.4 zimeshawekwa lami.
Akizungumza mara baada ya kukagua daraja na barabara hiyo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani amesema kukamilika kwa barabara hiyo kutafungua fursa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa Daraja la Mto Kalambo wakamilika

Serikali kupitia Wakala wa  Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Rukwa imekamilisha ahadi yake kwa wananchi ya kuwapunguzia changamoto ya usafirishaji wa abiria na mizigo kwa kukamilisha ujenzi wa Daraja la Mto Kalambo.

 

2 years ago

Michuzi

DARAJA LA FURAHISHA MWANZA LAKAMILIKA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu lililopo eneo la Furahisha na barabara ya kutoka Furahisha hadi Pasiansi yenye urefu wa KM 2.7, imekamilka kwa asilimia 99 Mkoani Mwanza.

Prof. Mbarawa amesema hayo wakati alipokuwa akikagua maendeleo ya ujezi wa daraja hilo katika ziara yake ya kikazi mkoani humo na kuridhishwa na ukamilishwaji wa ujenzi wake. “Daraja hili litaondoa changamoto kwa wananchi wanaotembea kwa miguu...

 

1 year ago

Michuzi

daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika

Hali ya "Sanda Mkobani" ilivyokuwa wakati wa kuvuka mto Kilombero mkoani Morogoro kabla ya ujenzi wa daraja.Ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero uliopangwa kukamilika mwezi Februari 2017, sasa umekamilika kwa 100% na liko tayari kuzinduliwa.  Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili za mkoa wa Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na Mkoa wa Ruvuma, litaokoa maisha ya wananchi wa wilaya hizo ambao katika kipindi chote cha mwaka walikuwa wakipata shida kuvuka mto huo huku shughuli za...

 

5 years ago

Habarileo

Maporomoko ya Mto Kalambo kuboreshwa

Maporomoko ya Mto KalamboENEO la utalii la maporomoko ya Mto Kalambo lililoko mkoani Rukwa, liko mbioni kuboreshwa baada ya michoro ya ujenzi wa miundombinu yake kukamilika.

 

12 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI,AFUNGUA DARAJA KUBWA MTO KILOMBERO LILOLOPEWA JINA NA DARAJA LA MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa Daraja kubwa la Magufuli lenye urefu wa mita 384 linalopita katika mto Kilombero mkoani Morogoro. DCIM100MEDIADJI_0568.JPG
2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkewe Mama Janeth Magufuli, Viongozi mbalimbali wa Dini,...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, JAPHET HASUNGA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KALAMBO AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU BARANI AFRIKA

Na Hamza Temba - WMU
SERIKALI imesema imedhamiria kufungua utalii wa Kanda ya Kusini ili kupanua wigo wa vivutio vya utalii nchini na hatimaye kuongeza idadi ya watalii na kipato kwa Serikali na jamii kwa ujumla.


Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga katika kijiji cha Kapozwa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa wakati wa ziara yake ya siku moja ya kutembelea Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni ya pili kwa kina kirefu barani Afrika baada ya Maporomoko ya Tugela...

 

2 years ago

Malunde

DARAJA LA MTO RUVU LIMEANGUKA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema daraja la mto Ruvu kwa njia ya reli limeanguka, hivyo kusababisha safari za treni toka Dar es salaam - Morogoro  kutokuwepo.Tutawaletea habari kamili hivi punde...

 

3 years ago

Channelten

Daraja la Mto Mbaka laanza kujengwa

Screen Shot 2016-06-17 at 4.01.58 PM

SIKU chache baada Waziri wa nchi anayeshughulikia maafa Jenista Mhagama kujionea adha ya wananchi wa Kitongoji cha Kibundugulu kijiji cha Mbaka ya kuvuka mto kwa kutumia kamba kama alivyoombwa na Mbunge wa Rungwe Sauli Amon, Serikali imeanza kuwajengea daraja kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni kumi.

Wananchi wa kitongoji cha Kibundugulu wamekuwa wakipata adha hii kwa muda mrefu ya kuvuka kamba ama wengine kulazimika kupiga mbizi ili kwenda kupata huduma muhimu za kijamii ikiwemo matibabu...

 

2 years ago

Michuzi

RC GAMBO AZINDUA DARAJA LA MTO KIJENGE


Nteghenjwa Hosseah - Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo amezinduzaa daraja la Mto Kijenge linalounganisha kata za Engutoto na Moshono ambalo limejengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Dharam Singh Hanspaul.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa amesema daraja hilo ni ukombozi na msaada kwa wananchi wengi ambao walikua wakipata adha kubwa ya kuvuka haswa wakati wa mvua kutokana na kukosa kivuko cha uhakika na kivuko kilichokuwepo awali kiliashiria hali ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani