Davido Ammwagia Sifa Baba’ke Kwa Kufadhili Wanafunzi

davido-2MWANAMUZIKI Davido wa Nigeria, amemmwagia sifa kedekede baba yake kwa kufadhili masomo ya chuo kikuu kwa wanafunzi wapatao 100 ambao walihitimu jana katika Chuo Kikuu cha Adeleke ambacho kiko chini ya umiliki wake.

Davido, ambaye mashabiki wake humwita Omo Baba Olowo, amefurahishwa sana na hatua hiyo ya baba yake ya kuongeza ustawi wa jamii nchini humo kwa kutoa elimu ya bure kwa watu wanaoitaka, jambo ambalo alisema iwapo lingeigwa na watu wengi Nigeria ingepiga hatua kubwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Kikwete ammwagia sifa Rais Kagame kwa kujenga umoja

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amemsifu kiongozi wa Rwanda, Rais Paul Kagame kwa mafanikio yake makubwa katika kuifanya nchi yake iwe mfano wa kuigwa katika kujenga umoja wa kitaifa pamoja na kupiga hatua kiuchumi na kimaendeleo muda mfupi tu baada ya nchi hiyo kuathirika vibaya kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababisha mauaji ya kimbari.

“Ninampongeza Rais Kagame kwa jitihada zake zenye mafanikio makubwa katika kuijenga upya nchi ya Rwanda na kuweza kutengeneza taifa moja lililoweza...

 

5 years ago

Mwananchi

JK ammwagia sifa Kinana

>Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amemmwagia sifa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana akisema amefanya kazi nzuri kwa kuwafikisha mawaziri wanne kwenye Kamati Kuu baada ya kubaini matatizo yanayohusu sekta zao.

 

3 years ago

Mtanzania

Shamsa ammwagia sifa JB

Shamsa Ford na JB

NA THERESIA GASPER,

MSANII wa Filamu za kibongo, Shamsa Ford, amefunguka kuwa hakuna mtu anayemvutia kwenye tasnia hiyo kama ilivyo kwa msanii mwenzake, Jacob Steven ‘JB’, kutokana na umahiri wake wa kuigiza.

Akizungumza na gazeti hili jana, Shamsa alisema JB ni mtu mmoja ambaye anajua kugusa uhalisia pale anapoigiza na kukitendea haki kipengele hicho.

“JB anaweza kuigiza kama baba wa familia au kijana na akafiti, vilevile akawapendeza mashabiki wake kutokana na kuigiza kwake, napenda kile...

 

3 years ago

Habarileo

Kerr ammwagia sifa Kiiza

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema mshambuliaji wake, Hamisi Kiiza ni aina ya wachezaji ambao ukiwa nao uwanjani unajua wakati wowote utafurahi.

 

4 years ago

Habarileo

Pluijm ammwagia sifa Bossou

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans Van Pluijm ametamka kwamba beki mpya wa klabu hiyo kutoka Togo Vincent Bossou ni mchezaji mwenye kiwango cha kimataifa.

 

4 years ago

Mtanzania

Kinana ammwagia sifa Lowassa

Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemmwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa ni miongoni mwa viongozi waliotekeleza kikamilifu ilani ya chama hicho.
Kinana ambaye yupo mkoani Arusha kwa ziara ya chama hicho ya siku tisa, aliyasema hayo yeye na msafara wake alipopokewa katika Kata ya Makuyuni Wilaya ya Monduli.
“Napenda kumpongeza mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu kwa kazi kubwa ya maendeleo aliyoifanya katika jimbo...

 

4 years ago

Vijimambo

Kagame ammwagia sifa Kikwete

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wakiteta jambo wakati wa mkutano uliowakutanisha viongozi wa nchi sita. Picha na Venance Nestory
Dar es Salaam. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemwagia sifa Rais Jakaya Kikwete kwa kuboresha huduma za Bandari ya Dar es Salaam na kuwezesha mizigo inayosafirishwa kwenda Rwanda kufika mapema zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita.Akizungumza kwa furaha wakati marais hao walipotembelea kitengo cha kushusha na kupakia mizigo cha TICTS...

 

4 years ago

Mtanzania

Magufuli ammwagia sifa Dk. Willbrod Slaa

MTZ2NA BAKARI KIMWANGA, HANANG’ KWAANGW’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amemsifu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kusema ni kiongozi safi anayewapenda Watanzania.

Alisema kama Dk. Slaa, angekuwa anagombea nafasi yoyote angewaambia Watanzania ni mtu safi mwenye uchungu na taifa lake.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano yake ya kampeni aliyoifanya majimbo ya...

 

4 years ago

Habarileo

Lowassa ammwagia sifa Rais Kikwete

Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anawania kuchaguliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemwagia sifa Rais, Dk Jakaya Kikwete kwa kuliongoza Taifa vizuri huku likiwa bado na amani na utulivu mkubwa wakati akielekea kumaliza muda wake wa kuliongoza Taifa kwa vipindi viwili.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani