DAWASA YAENDELEA NA MIRADI YA KUSAMBAZA MAJI, KUONGEZA MTANDAO WA MABOMBA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam(DAWASA) imesema pamoja na mikakati mbalimbali waliyonayo hivi sasa inatekeleza miradi mbalimbali ya usambazaji maji.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Meneja Uhusiano wa DAWASA Nelly Msuya amesema usambazaji huo wa maji unaenda sambamba na kuongeza matenki na mtandao wa mabomba.
Amesema usambazaji huo pia utafanyika zaidi maeneo ambayo hayakuwa na huduma bora na maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya viwanda.Msuya ameongeza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, ameanza ziara ya siku mbili ya kukagua baadhi ya miradi inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji  Safi na Maji Taka, (DAWASA), jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2017.Katika siku yake ya kwanza ya ziara hiyo, Waziri alitembelea Mradi wa Uboreshaji Mfumo wa Usambazaji maji ambapo kazi zinazofanyika chini ya mradi huo ni pamoja na ujenzi wa matenki tisa (9) ya kuhifadhi na kusambaza maji  yenye ukubwa wa kuhifadhi lita...

 

2 years ago

Michuzi

MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANIKazi zinazo fanyika chini ya Mradi huu ni pamoja na ujenzi wa matenki tisa (9) ya kusambaza na kuhifadhi maji yenye ukubwa wa kuhifadhi lita milioni 3.0 hadi milioni 6.0, ujenzi wa vituo vinne (4) vya kusukuma maji, ununuzi na ufungaji wa Pampu kubwa za kusukuma maji 16, ununuzi wa transfoma na ufungaji njia za Umeme wa msongo mkubwa, ununuzi na ulazaji wa mabomba makubwa ya ugawaji maji na ulazaji maji wa mabomba ya usambazaji maji mtaani yatakayokuwa na urefu wa jumla ya kilometa zipatazo...

 

2 years ago

Michuzi

DAWASA ILIVYOJIPANGA KUIMARISHA MTANDAO WA HUDUMA ZA MAJI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI

SERIKALI inatekeleza  Programu ya miaka mitano ya Maendeleo ya Sekta ya Maji nchini (2016/21) ambapo pamoja na mambo mengine imekusudia kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Miji Mikoa ya  Mikoa kutoka asilimia 86 hadi 95.
Taarifa ya Serikali kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji inaonesha kuwa Idadi ya wateja waliounganishiwa huduma hiyo imeongezeka kutoka 405,095 mwezi Machi 2016, hadi wateja 432,772 mwezi Machi, 2017 ambapo asilimia 97 ya wateja hao wamefungiwa dira za...

 

1 year ago

Michuzi

DC ALI HAPI AZIPONGEZA DAWASA NA DAWASCO KWA USIMAMIZI MZURI UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIRADI YA UBORESHAJI MAJI


 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mhe., Ali Hapi, (katikati), akiteremka kutoka juu ya tenki kubwa la kuhifadhia maji linalojengwa huko Mabwepande nje kidogo ya jiji, wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya maji wilayani kwake Januari 13, 2018.  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said

MKUU wa wilaya ya Kinondoni Mhe. Ali Hapi, amewataka wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa mradi wa uboreshaji wa huduma za ugawaji na usambazaji maji...

 

3 years ago

Michuzi

TTCL yaendelea kuongeza wateja kibao kujiunga na mtandao kabambe wa 4G LTE

Wateja waendelea kujiunga katika mtandao wa TTCL 4G- LTE katika maonesho ya wiki ya huduma za Kifedha na Uwekezaji, yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.  Katika maonesho hayo, TTCL  inatoa huduma za laini za 4G, na vifaa vya 4G LTE, kama vile Routers, Mi-Fi, Modemu.  

Wafanyakazi wa TTCL wakihudumia wateja katika Maonesho ya wiki ya huduma za Kifedha na Uwekezaji, yanayofanyika katika viwanja vya mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam.

 Wateja wa TTCL katika Maonesho ya...

 

5 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

5 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

3 years ago

Michuzi

FEDHA ZA MIRADI YA MAJI ZITUMIKE KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI NA SI VINGINEVYO-INJ. LWENGE

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge amezionya Halmashauri za Wilaya za Njombe na Mbarali kuhakikisha fedha za miradi ya maji zinazotolewa na Serikali, zinasimamiwa vizuri na kutekeleza miradi ya maji na si vinginevyo.

Mhe. Lwenge alisema hayo mwishoni mwa juma katika ziara yake ya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, alipotembelea Wilaya ya Njombe, mkoani Njombe na Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya katika ziara yake ya kukagua utekelezaji na maendeleo ya miradi ya maji na upatikanaji wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani