DC Babati awataka wakulima kuunga mkono jitihada za watafiti wa mbegu

Mkuu wa Wilaya ya Babati, Raymond Mushi akizungumza na wakulima na watafiti wa Mradi wa utafiti mbegu bora chotara za mahindi zinazostahimili ukame na magonjwa (WEMA), katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima Katika Mtaa wa Maisala Kata ya Babati Mjini, wilayani Babati. Mratibu wa Mradi wa WEMA, na Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti Ilonga, Dk. Justin Ringo (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Babati, Raymond Mushi (kulia) juu ya shamba la majaribio ya mbegu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Uhuru Newspaper

Bendera awataka wanahabari kuunga mkono jitihada za TMA


NA WILLIAM SHECHAMBO
MKUU wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amewataka wanahabari nchini kutumia nafasi waliyonayo kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa manufaa ya taifa.
Amesema jitihada hizo, ambazo ni utoaji wa taarifa za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wakati na uhakika, haziwezi kuwafikia walengwa bila kuwepo vyombo vya habari ambavyo huunganisha jamii, serikali na taasisi binafsi.
Bendera alitoa rai hiyo jana mkoani Morogoro, wakati akifungua...

 

1 year ago

Michuzi

MAVUNDE AWATAKA VIJANA WASOMI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde amewataka vijana wasomi wa nchi kuwa mstari wa mbele kuunga mkono kazi nzuri na kubwa anayofanya Rais John Magufuli katika kupambana na Rushwa, Ufisadi na Udhalimu.
Mavunde ameyasema hayo jana katika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre-Dar es salaam wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya Viongozi wa Vyuo vikuu nchini juu ya masuala ya Maadili ya viongozi na rushwa.
Amehimiza Vijana wasomi kutambua nafasi...

 

5 years ago

Habarileo

Tanzania kuunga mkono jitihada za Misri kurejea AU

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameihakikishia Misri kuwa Tanzania itaunga mkono jitihada za nchi hiyo kurejeshewa uanachama wake katika Umoja wa Afrika (AU), baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa kidemokrasia nchini humo Aprili mwaka huu.

 

3 years ago

Channelten

China imesema itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Tanzania

makonda.

Jamhuri ya watu wa China imesema itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Tanzania katika kusaidia kwa hali na mali sekta zitakazosaidia kuinua Uchumi wa nchi pamoja na maendeleo ya kijamii ikiwemo uboreshaji wa sekta za afya,Elimu pamoja na miundombinu ya barabara.

Balozi Mpya wa China hapa nchini Bw,XIAO FAM akizungumza baada ya kumtembelea Mkuu wa mkoa wa Dsm na Kuguswa na kasi ya Serikali ya awamu ya tano katika kushughurikia kero za wananchi na kupambana na vitendo vya rushwa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wizara ya Afya Zanzibar yaahidi kuunga mkono jitihada za Serikali

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alisema Wizara yake itaendelea kuunga mkono jitihada za Serikali zinazofanywa na wananchi kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali katika kufanikisha  huduma za afya.

Alisema jitihada zilizofanywa na Mbunge  Shamsi Vuai Nahoha na Mwakilishi Ali Suleiman Shihata wa Jimbo la  kijitoupele kwa kujenga kituo cha Afya ni hatua kubwa ambayo itawezesha kupunguza wimbi la wagonjwa wanaofika kwa wingi kituo cha Afya Fuoni na Hospitali kubwa ya  Mnazi Mmoja...

 

10 months ago

Michuzi

WAKULIMA NJOMBE WAFURAHIA MBEGU BORA YA MUHOGO WAWASHUKURU WATAFITI SERIKALI


Na: Calvin Edward Gwabara-Njombe.
Wakulima Mkoani Njombe wamewashukuru watafiti na Serikali kwa kuwezesha kupatikana kwa mbegu bora za muhogo ambazo zinauwezo wa kustawi kwenye maeneo ya baridi hasa nyanda za juu kusini baada ya utafiti wa mwaka mmoja ulifanywa na watafiti kutoka kituo cha utafiti wa kilimo cha Mikocheni MARI na chuo kikuu cha Dar es salaam.
Wakiongea kwa furaha wakati wa zoezi la kuvuna mihogo hiyo ambayo ilipandwa mwaka mmoja uliopita wakulima hao wamesema sasa wamepata zao...

 

3 years ago

Michuzi

Watanzania watakiwa kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na wizi wa kazi za sanaa nchini

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye( kushoto) akiangalia bidhaa za filamu na muziki zilizokamatwa katika zoezi la kushtukiza la ukamataji wa bidhaa hizo katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam zilizoingizwa nchini kinyume na sheria, kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.Mitambo ya kuzalishia bidhaa za filamu na muziki kama zilivyokutwa katika kampuni ya Aguster kariakoo jijini Dar es Salaam katika zoezi la kushtukiza la ukamataji...

 

3 years ago

Michuzi

Mama Magufuli amshukuru Mtumishi wa Mungu TB JOSHUA kwa kuunga mkono Jitihada zake za kusaidia wazee

 Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiongea na wazee katika kituo cha Nkaseka Mkoani Mtwara na kumshukuru Mtumishi wa Mungu TB Joshua kuunga mkono juhudi zake za kuwasaidia wazee na watu wasiojiweza kwa kuchangia baadhi ya vitu vilivyotolewa kama msaada kwenye kituo hicho. Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa akiongea na Wazee wa Kituo cha Kulea Wazee cha Nkaseka Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Muwakilishi wa Mtumishi wa...

 

1 year ago

Michuzi

ULEGA AWATAKA WANANCHI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA VIONGOZI WAO


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega  akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Maragoro wakati wa ziara yake katika kata ya Vianzi na kuwapongeza kwa ufaulu mzuri wakiongoza kwa kata kwenye matokeo ya darasa la nne na la saba.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega amewataka wananchi wa Kata ya Vianzi kumuunga mkono diwani wa kata hiyo Nassoro Chuma katika kuendeleza miradi mbalimbali ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani